JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kijana mmoja kutoka Manda alikuwa anang'ang'ania kwenda Dar es Salaam licha ya baba yake kumzuia, baada ya baba kuona juhudi zote za kumzuia zinashindikana akaamua kumruhusu lakini kwa kumpa usia...
4 Reactions
34 Replies
8K Views
Enzi zile kipindi tuko shuleni level ya msingi tukiwa darasani ilikua inatokea Ukimya wa ghafla ulokuwa unadumu kwa sekunde kama 3 mpaka 5 wakati unakuta watu mlikua mnaongea kwa makelele kabisa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Huyu dada amegomea katukatu proposal ya marriage toka kwa huyu jamaa. Dada ni mrefu 180cm jamaa 148huko, ananiambia anamlia tu tupesa twake. koh koh..
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Kwenu mliowahi na mnaoendelea kumaliziana lodge sasa hivi mjini zimesambaa CD kibao za ngono zilizorekodiwa katika logde mbalimbali na inavyonekana watu walikuwa wanarekodiwa bila kujijua...
0 Reactions
79 Replies
11K Views
NIMEPITA hapa mapambano kituoni kuna supermarket. Naambiwa story mzee mmoja leo kakutwa ameiba dawa ya mbu kaweka kwenye kufuli lake camera zikamdaka maskini wakamtoa nje wasimwiitie mwizi...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Jamaa mmoja alifumaniwa na mke wa mtu, akafanikiwa kukimbia uchi hadi Stendi... Akapanda Daladala Konda akawa anamuangalia yule jamaa mara mbili mbili. Jamaa akamuuliza Konda: Unashangaa nini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ivi nauliza wale juu ya wale WAPENDANAO pindi wanapomalizana VICHAKANI hua wanavua nguo au ni style ya kufungua zipp na kushusha under wear....na style gn hua wanatumia???
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Una swali lolote au kitu chochote ambacho ungependa kujua kuhusu warumi??,ushauri na je kitu gani uwa unakifurahia kutoka kwangu au kuchukia? Wakati ndio huu,nimetoa nafasi adimu kwa kila mtu...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Ujue Ni Kitambo Sana Siku Hizi Sionekani Jamvini .Ujue Sababu Niko Mahangaiko Makubwa Kusaka Pesa.Napiga kazi asubuhi mchana jioni na wakati mwingine hadi usiku najikuta nakosa muda wa kuzama...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Closed
Kuna baadhi ya wanaume hupenda kujifanya wanajua sana mambo chum...n...afu kumbe si lolote....na wanaume wa dizaini hii pindi ufikapo chumba....n utakuta wana VIBAMIA.....
3 Reactions
165 Replies
12K Views
.Going to the bf/gf without invitation= OFFSIDE .Having sex with 3 women in a day= HATTRICK .Goalkeper= CONDOM
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa anayelijua hili.kwamba nikikata tiketi ya safari ya Mwanza to Dar es Salaam go and return miezi 2 kabla ya safari inakuwa tsh ngapi?msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I thought about mothers feed their babies with tiny little spoon and forks. So I wondered what do chinese mothers use, TOOTHPICKS?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uwiiii.....Nicheke mie, ninune nimefiwa na nan!!! Sina pengo, gego wala jino bovu. ....japo wahenga walisema, "Bora kuvaa ndala kuliko mdundo mbovu', hahahha.... ,heri ya pengo kuliko jino bovu...
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Jamaa kaenda Ulaya kwa ndugu yake na kingereza cha kuunga unga cku moja amekaa akagizwa dukan kununua mahitaji ya home akiwa ameshanunua baadhi ya mahitaji ikawa imebaki kununua mayai akawa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hayo maneno yanapaswa kutumiwa na wanawake haingii akilini mwanaume kuandika hayo otherwise uwe watu wa ile jamii ya akina Bhanunu vinginevyo hiyo misemo ni ya kike na haipaswi kuandika na mwanaume.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Fainali ya kombe la dunia Brazil kati ya Argentina na German, nikasema, mm napenda German ishinde. Jamaa m1 dreva akaniuliza, Ujerumani iko Afrika? Na alikuwa serious, nikaogopa kwa maana mtu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mom Fay Vs Arovera Matola Vs lara 1 Oooh!!! Piko wangu , INA sijui rangi khhaa kwani mnadhani tulikuwa hatuumii?? Hahaaha vijino pembe!!! Ooohh my arovera sijui miarobaini na miashoki! mko...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Hivi mimi nauliza, kuna ubaya kubambia kwenye daladala? Maana daah mimi sioni tabu espeshiaree pale kuna foleni halafu mdada mwenye wowowooo akiwa mbele yangu ili kuondoa stress za foleni...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Hili nimeliona kila ninakopita na ninaowaona. Pia nimesikia sijui wapi tena kuwa ni fasheni mpya! Nami nimeanza pia kuwahusudu wanawake wenye vitumbo. Katika hili, mwanamke anapendeza zaidi pale...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…