JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka...
25 Reactions
175 Replies
8K Views
Huyu kwa wanaokumbuka enzi hizo alisaidia wengi sana magonjwa mbalimbali Sijui kilichotokea aweki tena mada zake humu popote ulipo dk njoo usaidie jamii inakukumbuka sana CC Dkt. Mzizimkavuu
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama una changamoto ya afya ya akili komenti chochote. Madaktari wa akili kaeni karibu mnaweza pata wateja.
1 Reactions
0 Replies
331 Views
class mates wa shule ya msingi / secondary marafiki wa utotoni / secondary Majirani n.k Mimi huwa nikikutana na mtu wa muda mrefu huwa nadeal na haya mambo Nimefurahi kukuona baada ya miaka...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu habari, Tunamuomba rais, aweze kushirikiana vyema na kitengo cha hali ya hewa Tanzania, Ili kuweza Kupunguza ukali wa jua la hapa dar. Hapa dar jua ni Kali sana na linachoma angel zote za...
4 Reactions
14 Replies
764 Views
He'll bosses, Wale tulio na games kwenye devices zetu, ni game gani unacheza sasa Mm sio mpenzi sana wa games lkn sometimes na cheza mara nyingi napenda ku cheza game amambazo zina run online...
3 Reactions
25 Replies
22K Views
Hebu wakuu njooni mtuambie apa Mwaka UKIISHA ukipiga hesabu za matendo yako Huwa UNAJIONA ulivyokuwa mjinga mwaka ulioisha?
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Kila nikisikiliza redio moja nasikia tu watu wakishinda pikipiki na milioni mbili au kashinda milioni tano na bajaji, yaani full kuokota. Ila sasa ukijaribu kucheki kwa sura nyingine ni kama...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Now nimeshangaa kuona wachawi wapo live kabisa hakuna wanachokiogopa tena yaani hakuna kabisa af wajinga wachache wanaingia king mm japi najua kusoma nyota ila kamwe siwezi ingia live na ili...
1 Reactions
8 Replies
606 Views
Mbona madhabahu na injili inavamiwa na washamba sana, yaani akili ya kusoma vifungu vya bible, na hizo lukutu lakata leketee feki ndio wanajifanya na kujikuta wanajua kila kitu, mahusiano wanajua...
2 Reactions
12 Replies
970 Views
10. Kifo cha mtoto albino mkoani Kagera 9.Kutekwa kwa Sativa 8. Msigwa kuhamia ccm 7. Makonda kurudi kwenye mfumo 6. Kifo cha mzee Mwinyi 5. Yanga kuifunga Simba mara 4 mfululizo. 4...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Inasemekana! Kwa Sasa unaweza ukausaka utajiri na usiufanyie jambo lolote la maana kwenye Jamii!? Matharani ukipata $2,000,000 utafanyia nini!? Naomba kuwasilisha
2 Reactions
10 Replies
490 Views
Kuna watu wakisema uongo Huwa wanatetemeka balaa ila Kuna wengine asalaleee!! Anadanganya macho makavuuuu hata kupepesa hapepesi. Hivi nguvu yenu Huwa nini hasa!?. 🤔
11 Reactions
34 Replies
1K Views
  • Closed
Mikoa inayoongoza kwa watu washamba. 1. Kigoma 2. Arusha 3. Kilimanjaro 4. Mbeya 5. Rukwa 6. mwanza.
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kila shabiki kuna namna alianza kupenda muziki na hatimaye akajikuta hawezi kutoka tena! Mi nakumbuka kwenye 90s mzee wangu alikuwa na music system ambayo alitoka nayo Russia na alikuwa akiplay...
1 Reactions
1 Replies
439 Views
Itifaki imezingatiwa, Wakuu, binafsi chanzo cha kutumia id-enter passcode ni shemeji/wifi/mtoto/mjukuu wenu, simu niliijaza pass words mpaka akitaka kufungua app yoyote inamdai aingize codes...
5 Reactions
14 Replies
841 Views
Wakuu samahani naomba kuuliza na kujuzwa wapi walipo hawa member wa kitambpo wa JF? Walipatwa na umauti? Walibadirisha ID? Wako wapi? GUDume Zero Iq Joseverest Na wengine wengine wakongwe wa JF
11 Reactions
51 Replies
2K Views
Napenda sana maua,mje nayo bas macho yafurahi na moyo uburudike. Hili ni kwa ajili ya jf members wote🧡
27 Reactions
429 Replies
10K Views
Nipo mbeya kwa ajili ya mambo yangu ya kifamilia. Nimekutana na mambo ya hovyo sana, nikasema ngoja niwaulize wadau. Jamani eti kunywa beer 20 pekeyako ni starehe au ni stress. Conclusion yangu...
8 Reactions
13 Replies
805 Views
Katika familia nyingi za kiafrika ukali kutoka kwa mzazi mmoja au wawili, hasa baba imekuwa kama desturi kwa baadhi ya familia. Hali hiyo inaweza kusababisha watoto kuwa na hofu na wasiwasi...
0 Reactions
4 Replies
479 Views
Back
Top Bottom