JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimefikiria kuanzisha uzi kuhusu hii pande ya mji wa dar es salaam tupate kushirikishana mambo kadhaa. Ukiona pisi kali kapanga sinza anakaa kigetogeto na hana kazi maalum, mkuu usitongoze wewe...
3 Reactions
4 Replies
603 Views
Mazishi jangawani kesho asubuhi
2 Reactions
15 Replies
339 Views
Wakuu, Mwana kang’oa pisi kali Jamaa mmoja kutoka Uganda ana-trend baada ya kushinda milioni 36 kwenye betting. Baada ya ushindi huo, mhudumu wa mapokezi katika kituo cha betting aliamua kuacha...
0 Reactions
3 Replies
705 Views
For several times now he has been provoked but he didnt show up. Even his trip~trop actions and activities are nearly zero. What have shut this man off?
2 Reactions
2 Replies
335 Views
utajuaje kwamba uko banned 🚫 🐒
0 Reactions
2 Replies
526 Views
Wakuu ! JamiiForums kwa upande wangu hasa mwaka huu 2024 imekuwa ni msaada mkubwa sana katika mambo yangu mbalimbali. Ninaelekea kutimiza miaka 14 ndani ya huu mtandao na ninaweza kusema mwaka...
22 Reactions
93 Replies
3K Views
Si ajitokeze mdada mmoja wa dar aje anipikie pikie
1 Reactions
1 Replies
285 Views
Imeripotiwa kuwa wanachama mbalimbali ambao Dr.JF amewadaiagnoz na ugonjwa wa adikshen ya JF walikuwa katika wakati mgumu wikiend hii wakitafuta shughuli mbadala nje ya JF, pale ambapo JF haikuwa...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Heshima kwenu jamvini... Nisije kijana wenu nikawa nazitafuta kwa speed ndogo, hivi jamani watu wanatolea wapi pesa!? Yaan mara huyu anajenga ghorofa, huyu ananunua gari kufuru, huyu anawachapia...
5 Reactions
11 Replies
699 Views
Hili jini sijui kwanini lisipande kwa viongozi wetu wanapokuwa kwenye mikutano ya kimataifa ili kuwasaidia kuongea na kusoma mikataba ya kimataifa inayoandikwa kwa Kiingereza hivyo wanasaini bila...
0 Reactions
3 Replies
573 Views
Kheri ya Mwaka Mpya Wakuu! Kama mjuavyo dunia inabadilika. Na Uwepo wa JF ni moja ya vithibitisho hivyo kuwa Dunia ya sasa imebadilika. Hatujuani kutokana na wengi kutumia Anonymous ID lakini...
32 Reactions
173 Replies
10K Views
Kwa nini hataji shughuli zingine, kama kuendesha shughuli za kiwanda, kusimamia biashara na zinginezo? Au kilimo na ufugaji cha uzeeni kinalipa zaidi kuliko kile ambacho utawekeza nguvu ujanani...
2 Reactions
5 Replies
392 Views
Mrembo huyu amewavutia wengi baada ya kunaswa barabarani na kamera akienda kwenye Mitikasi yake, akiwa kwenye pikipiki yake.
2 Reactions
4 Replies
615 Views
Source: 1st openly gay Episcopal bishop to divorce husband - US news NEW YORK (AP) — The first openly gay Episcopal bishop, who became a symbol for gay rights far beyond the church while...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom