JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sema sehemu ambayo wanaweza kukupata,mana wanaichukia jf,wanasema watu wanausema vibaya utawala wao na kuleta uchochezi kupitia jf,na kuna baadhi wanatamani wawajue members wa jf sehemu mlipo na...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Young Ladies. You add him on Facebook . He checks your pictures . He confirms . He in boxes you . You reply , all excited . You'll want to hook up . Set a date . You dress up , smell good , make...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Janeth mbugwa wa citizen tv,anaendesha mjadara wa mahusiano kwa vijana,mada nzuri sana kwa ambao hawajaingia kwenye ndoa. ni vizuri tv za bongo wakajifunza kuleta mada kama hizi
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hili neno nalisikia na kuliona sana, hasa huku jf. Muasisi wake nani? Nahisi ni le mutuz
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za leo wana MMU wote? Naomba kuuliza tu hivi kwa nini wanaume wengi wakimaliza kukojoa hutema mate, haijalishi choo ni kichafu au hapana, na mbona wakimaliza haja kubwa huwa hawatemi mate...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
MMU members ni 18 chit chat members 4.. tu.. tatizo ni umeme tu?au networks pia? au kuna lingine? sio kawaida ya jf....
5 Reactions
146 Replies
9K Views
Hello, Natafuta msichana wa kubadilishana nae mawazo hasa juu ya elimu ya jinsia. Awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi 36. Kama upo interested ni PM na namba yako. Sihitaji wanaume. Thanks..
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wapendwa, wana JF Kuna mtoto wa kishua wazazi wake wameniomba nimfundishe tuition, na ni wiki ya pili nakapiga pindi. Tatizo huyu mtoto anakuja na mavazi ya kulalia halafu ananiigizia mambo ya...
0 Reactions
107 Replies
12K Views
Eti nyuma ya betri kuna betri na mbele ya betri kuna betri, jumla kuna mabetri mangapi..
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hehehe ngoja nicheke coz JF wote hawanikubali wananiona mhuni hata hii ban ya 31,madikteta kama Gadafi na Amini walipendwa isiwe mimi?muda unaruhusu unichunguze,usiridhike kisa...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Ndugu wana MMU, Ni jumamosi tulivu ila inaanza kuleta chokochoko ndani ya bichwa la babu.... Naomba mwenye taarifa anijulishe wapi naweza kuwaona Chonya wa Chilonwa, Rashid wa Kuli na Mzee...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Naona tuchemshe bongo kidogo kwa kujibu swali rahisi tu; Kati ya siku kuu hizi mbili maarufu duniani kwa maana ya kristmas na mwaka mpya, ni ipi inatangulia?(husherehekewa kwanza)...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Kuanza Kuongea Kwa Sauti Kubwa Kugonga Umombo hata kama ni Broken .....................................................?
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Habari za leo mchana wana Jf, Hebu tupeane misemo mbali mbali ya mitaani; 1. Miluzi mingi humpoteza mbwa 2. Mbona upo juu juu kama nyama dukani 3. Ukubwa wa kitambi hauvunji miguu 4. Unauliza...
2 Reactions
21 Replies
15K Views
Hellow my queen, wherever you are, whatever you do, i appreciate you existence... Nimeamka asubuhi malikia wangu nikiwa na mengi kichwani... mojawapo ni hili la kutangazia umma juu ya umuhimu...
15 Reactions
716 Replies
48K Views
Kwel Wazaramo nuksi! Wamekamata mwizi hawakumpiga wala hawakumpeleka polisi walimsema mpaka kafa!
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Na Inatokana Na Kuoga Kibishoo Bint Unaingia Bafuni Ndani Ya Dakika Tatu Umetoka, Hamjisugui Ukianga Tum.A.T.A.K.O Tweusi Tii Yaani Full Ukurutu Kwenye Miguu Ndio Usiseme Umejaa Makegete...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukipita huko facebook na instagram sijui... zaidi ya 90% ya kina dada akitupia picha mbili tatu, lazima moja inakuwa imepigwa from behind... Ni style tu au huwa labda kuna message mi sielewi? Mi...
1 Reactions
98 Replies
16K Views
Aina za vimada 1.Wale wa chapa ilale, huyu ni one nite stand, flirting, sio serious, nikikumbuka nakusaka, nakuchapa, no string attached, baadae tukikutana ni mchuno kama hatujawahi juana, hii ni...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Akina dada kwa KUPENDA VYA KUPEWA mh! ckia HII Jamaa: Sweetie otea nimekununulia zawadi gani ya birthday? Demu: Oh jamani sweetie umeninunulia nini? Jamaa: Unakumbuka ile RAV4 uliionaga ukaipenda...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…