JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mother to Daughter. "Ndoa ni kuvumilia mwanangu ata si unaona sisi tulivumilia tukafika hapa" Daughter trying kuvumilia 👇
4 Reactions
8 Replies
491 Views
Hii ni fimbo ya ajabu,kwanza ndefu si ndefu,nene si nene,inachapa kwa mbele na kwa nyuma,na inatema balaa,ukiruhusu ikutemee ni lazima utavimba,na inapochapa ni lazima utalia kwa raha,na inachapa...
7 Reactions
66 Replies
2K Views
KATI ya miaka ya 1960 hadi 1980, mtu kuwa tajiri alionekana ni hatari kwa taifa, tena mali zake alizimiliki kwa kificho, vinginevyo angeitwa mhujumu uchumi. Lakini kwa sasa mambo yamebadilika...
3 Reactions
27 Replies
59K Views
Kuna hii situation baada ya kukosa kazi kila unaempigia simu kwaajiri ya msaada anakua hapokei simu kama vile wote wameambizana kutokukupokelea simu. Roho yangu ndo imeweza kufunguka na nimeweza...
3 Reactions
6 Replies
312 Views
Wazungu wanakitu kinaitwa intuition, ubonge ambao kila siku janabi anauponda leo umegeuka kuwa mokozi wa Yule bwana hii ndio maana ya za kuambiwa changanya na zako.
20 Reactions
60 Replies
2K Views
Ase ban inauma sana mod just help me
5 Reactions
67 Replies
3K Views
Tometoka mbali sana aiseee Nakumbuka nilivyokuwa sekondari ilikuwa nikifanya kosa sichapwi kijinga jinga! Nilikuwa najitetea kivyovyote vile nisiguswe hahaahaaaa. Walimu waligundua hiko kitu...
1 Reactions
8 Replies
515 Views
Nahitaji single mother miaka 32_50
0 Reactions
18 Replies
830 Views
Wana Jf, Ni jambo zuri sana endapo kila mwana Jf atajitambulisha kabila lake hapa jamvini. Swali: Nini Faida ya kutaja kabila lako hapa? Jibu : Faida zake ni nyingi sana, nitakutajieni...
0 Reactions
147 Replies
9K Views
Habari za wakati huu. Niko na swali Moja la kuuliza nahitaji msaada.Je hivi ni kweli Kuna baadhi ya watu Huwa hawaoti kabisa Yani hawapati ndoto? Na kama ni kweli sababu ni nini? Nimejaribu...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Nimekaa sana Tabata barakuda Takribani miaka mi 5 ivi Ila nimehama mwaka jana mwanzoni Nimehamia GONGO LA MBOTO ila kwa sasa napaona Pachungu. Chanzo cha kuhama tabata ni kukimbia bar na malaya...
17 Reactions
67 Replies
9K Views
Hey....my dear love..... Angel Nylon you came into my life like a blessing you stay like a forever gift from god you loved me like everything like my everything and I loved you I feel the...
24 Reactions
162 Replies
5K Views
hii picha imepigwa mwaka 1960, kama huyo msichana alikua na hata na miaka 20 tu, saivi ni bibi ana miaka 84, muda unapaa
2 Reactions
3 Replies
715 Views
Watz baadhi mnajiabisha kufwata fwata wasanii matakoni ni uboya ulivuka mipaka unaweza ukawa sehemu umetulia akapita msanii unashangaa watu wanamfwata mfwata kila anakoenda kubembeleza picha...
1 Reactions
3 Replies
224 Views
Nikianza na mimi... Nina asili ya Uarabuni ... Babu yangu mzaa Baba katoka Oman akaja Zanzibar then akazaliwa Baba yangu then Mimi... Sina nia mbaya ila tu nataka tujuane... Sorry no picture today!
10 Reactions
139 Replies
30K Views
As salaam alaikhum ndugu Wana familia wa JamiForums Katika maisha Kuna visa vingi hutokea na kila mwanadamu huwa ana kisa au stori ambayo katika maisha yake au mazingira anayo ishi humtokea...
1 Reactions
9 Replies
828 Views
Nasikia alisitisha zoezi baada ya ule mti wake kukauka au kwisha,sasa ningependa kujua 1.bado tu haujaota tenaa?? 2.Na saizi ana deal gani?? 3.kuna mtu mwenye namba zake nataka anifundishe...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii pesa kama ni wewe inaishia kwenye nini na nini
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mimi kwa sasa ni babu,mara nyingi hupenda kutembea kwa miguu,umbali mrefu, Sasa njiani huwa nakutana na wanafunzi ambao hunifatilisha navyotembea huku wananiambia we babu shikamoo,basi naitika...
0 Reactions
1 Replies
294 Views
Back
Top Bottom