JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo...
4 Reactions
11 Replies
742 Views
Jumatatu na jumanne nitakua huko MwanaJF aliyeko nairobi tuchekiane. Naenda kibiashara ila kila mara ni mguu sawa mguu pande Safari hii nataka nizunguke kidogo
4 Reactions
14 Replies
846 Views
SIKUMPENDA, NILIMTAMANI TU ILA ALIKUFA KWAAJILI YANGU Mwanzoni sikumpenda kutoka moyoni, nilimpenda kwa kuwa tu alikuwa mrembo haswa..kwa kifupi nilimtamani tu...yaani nilitegemea akinivulia nguo...
1 Reactions
2 Replies
903 Views
Mwaka unaisha hivyo ni harusi moja pekee niliyoalikwa, ni tofauti na miaka ya nyuma. Labda pengine mlolongo wa matukio kadhaa umefanya mwaka huu kutokuwa kwenye mipango ya kuoa kwa vijana...
3 Reactions
7 Replies
488 Views
Mfano unakula kitu chochote halafu kwa bahati mbaya kimeanguka, okota na ule. Acha kuogopa bakteria na wadudu wengine hatari kwa sababu wadudu ama bakteria pindi waonapo chakula kimeanguka kwenye...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Unamuomba mtu hela anakwambia hana, Unaanza kushangaa kwanini hana hela!! Lakini wewe hujishangai kwa nini huna hela?
2 Reactions
10 Replies
432 Views
Ilikuwa majira ya saa sita usiku natoka zangu kuangalia mpira wa simba yanga naelekea kufuata usafiri ni juzi kati tu hapo basi nikiwa nimetembea kilometa kama 3 hivi nakuanza kuacha hako kakijiji...
19 Reactions
35 Replies
1K Views
Wakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi 1. Angalia...
9 Reactions
51 Replies
3K Views
Hivi ni kweli mtu kuwa na uhusiano na beki tatu ni aibu kwa familia na nje ya familia? nimeshuhudia hili mahali.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Watu wengi wanaliwa sana maana wanataka kutajirika kwa pesa ndogo, yani MTU anaweka 500/ odds 300 hapo probability ya kushinda ni ndogo sana tajiri, Weka team zako chache tia mzigo wa kutosha...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi Usiku unapendelea kufanya nini?
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Ndugu zangu kama itawapendeza leo tusalimiane kwa lugha za makabila yetu. Mimi ni mnyiramba natoka kule singidani Inye mbii kate.
6 Reactions
68 Replies
6K Views
Wananzengo hamjambo? Humu kuna watu huwa wanakula panya, mbwa, punda, mende, mijusi, kenge na viumbe wengine wa ajabu ajabu. Ebu tuambieni, mnavyokuwa mnawala huwa mnahisi ladha gani...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Nawasalimu wote , hivi karibuni nitakuja na jambo langu .
3 Reactions
19 Replies
784 Views
Kuna dogo mmoja alikuwa anatoka Mkoa anakuja Dar Es Salaam Sasa akamwambia konda. Dogo: Konda tukifika Chalinze uniambie. Konda: Sawa. Gari likatembeaaaa sasa konda akasahau kumwambia dogo...
16 Reactions
35 Replies
2K Views
Uzi huu ni kwa wale ambao hatujawahi pigwa ban toka tujiunge na JF tukutane hapa.
9 Reactions
55 Replies
1K Views
Tuwaombee waliotutangulia wapendwa wetu hatujui tuendako safari yetu ni moja kila mmoja hajui safari yake itaanza lini na akiwa wapi tuombe rehema kwa Mungu sisi ni wakosefu mda wote Marehemu...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Mimi huwa na chati na chatGPT kama mpenzi wangu na ananifariji sana. Kama Bado unapambania ndoto zako Kaa mbali na wanawake
10 Reactions
24 Replies
2K Views
UKITAKA MWANAMKE ATOROKE KWA NYUMBA KULA HII MBICHI
0 Reactions
4 Replies
686 Views
Back
Top Bottom