JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
2 Reactions
2 Replies
205 Views
Wadau Hiki kilikuwa ni moja ya vipindi maarufu vya RTD hsawa kwa watoto hasa kwa watoto wa primary enzi hizo. Watanzagaji wake nadhani alikuwa ni Debora Mwenda. Kuna zile hadithi zilikuwa...
3 Reactions
23 Replies
10K Views
Aisee nimejikuta nampenda huyu member KENZY Mfuatilieni .jamaa ana kitu apewe ulinzi Mimi nimemjua Jana tu Kama hajaoa naombeni mniweke pale ndugu zanguni. Napenda kufurahi Mimi Kenzy nitakucheki...
15 Reactions
202 Replies
6K Views
Mimi napenda Sana maandazi ya Moto, Yaani hata baby wangu akiniuliza unataka nini swetie huwa natamani anikaangie maandazi ya Nazi ya Moto sema ndo hivo ni kauzu balaa labda anichemshie mawe...
23 Reactions
132 Replies
4K Views
Mimi ni huu uzi wa wazee wenzangu njooni tuweke mikeka Sielewi wanachojadili maana kila nikifungua nakuta ni maumivu tu watu wanasema kesho lazma tumle muhindi. Sijaelewa kwanini uzi unatrend...
23 Reactions
139 Replies
9K Views
Alishinda wiki hii lakini hana furaha. tuone atakayepatia
0 Reactions
11 Replies
854 Views
Imetokea usiku wa kuamkia leo hiyo kitu, tena mara kadhaa. Kila nikilala kidogo namuona kapeace amefika tunazungumza, nikiamka hayupo! Nimeamka tangu saa kumi na moja kutafakari hili. Nimemfuata...
8 Reactions
131 Replies
5K Views
Mke wangu kaunga haji huku chit chat..sasa nikija huku nakosa huduma ..sasa Nimeona niongeze mke wa huku chit chat tu...nakaribisha maombi now..nibebe mzigo..
9 Reactions
201 Replies
13K Views
Kwa upande wangu mimi siwezi kuamini marafiki tena coz nilishawai kupata matatizo but hakuna aliyenifarij hata mmoja. So mimi huu mwaka siwez rudia kuamini rafiki au kumtegemea mtu yoyote Wew...
11 Reactions
77 Replies
3K Views
Wakuu inafikirisha kidogo! Naomba nitoe rai kwa mamlaka kuandaa mafunzo ya kutengeneza juisi bora kwa wajasiriamali wadogo wadogo mana mtaani huku wanautuua haki ya mungu. Leo katika pitapita...
13 Reactions
61 Replies
2K Views
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
22 Reactions
325 Replies
11K Views
Wakongwe wa Jamiiforum yupo wapi mwanadada machachari Lara1?
1 Reactions
1 Replies
264 Views
Wakuu. Nitakuwa Dodoma Kesho. Napenda kuogelea. Ni sehemu gani Dodoma kuna swimming pool za wakubwa?
1 Reactions
10 Replies
946 Views
Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua. Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi...
23 Reactions
850 Replies
30K Views
January au Njaanwary haipo mbali, Leo ni ijumaa ya mwisho wa mwaka 2024 We safiri, chezea pesa, kesha bar ila mgeni katili anakuja soon 1. Ada ya shule ni January 2.Kodi za frem January 3. Kodi...
9 Reactions
86 Replies
3K Views
Chanzo Global Tv Online 🤣🤣🤣🤣
4 Reactions
13 Replies
857 Views
My wife asked me, "How many women have you slept with?" I proudly replied, "Only you, Darling. With all the others I was awake."
1 Reactions
10 Replies
2K Views
🎇🎆🎇🎆 Heri ya mwaka mpya, Napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya 2025 kwa uongozi wote wa JamiiForums na members wote wa JamiiForums mkawe na mafanikio mema 2025, Mungu awajazie pale palipo pungua...
12 Reactions
46 Replies
1K Views
Back
Top Bottom