JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ukiingiia kwenye mitandao ya kijamii kuna baadhi ya wanawake wapost picha karibia kila baada ya dakika tano lakini katika picha hizo huji kuona amepiga picha ambayo inamuonyesha mwili mzima, muda...
2 Reactions
59 Replies
6K Views
Nasikia wale vijana watukutu 'panya road' wamerudi mitaani,sasa wakazi wa Dar kulala ni saa 12 jioni,wachepukaji nao wanabaki ndoani,teh teh
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Mkoa wa Kilimanjaro bia zote zimeisha.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
yani nilikiwa nimezoea keypad za simu za kawaida,lkn now napata shida kuandika vizuri,naandika vitu visivoeleweka,nachukua muda mrefu..naona kero ,kama kula wali kwz Stiki
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Yes! Namaanisha hivi! Sie wengine huu mwaka wa 2014 mapenzi yametufanya yao; na sie pia tumeyafanyia zetu! Ndio, ni kama ngoma droo ama hata sometimes tumezidiwa.....mara tumepiga kibuti mara...
0 Reactions
148 Replies
10K Views
happy new year 2015,nawapenda wote.
0 Reactions
3 Replies
813 Views
Mambo zenu wakubwa nilikua naomba wakujulishwa sehemu inayo uzwa mbwa au kama kuna raia humu anafanya biashara hii naomba msaada au nitajiwe sehemu wanauzwa
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Mtoto: tafadhali mungu naomba uepushe kusiwe na vita ya tatu ya dunia pleaseee mungu: safi sana unaipenda sana nchi yako eee... mtoto: hapana siko vizuri kwenye somo la historia... hizi vita...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mchanganuo wa pesa za Escrow account katika matumizi ya bia ni kama ufuatao: DATA Kiasi kilichoibwa =Tsh 321 bilioni. Gharama ya bia 1=Tsh.2500. Idadi ya watanzania = 44 milioni. Wastani kwa kila...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwaka umeisha heri kwa wale tulio na afya nje lakini wapo ambao hatuko nao wengine ni wagonjwa tuwaombee kwa Mungu awape faraja yake Tulifunga mwaka mtandao wetu pendwa JF ukiwa katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndg wana jamvi nimekuwa napata maswali mengi hasa kwa sie tuendao bafuni na ndoo au karai ukitanguliza maji ya Moto utasema unapooza ukitanguliza baridi unapooza Mfano huu unamaanisha wewe Una...
0 Reactions
71 Replies
5K Views
happy new year 2015 ,love u all.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wana Jf naomba msaada wa contact za huyu dada
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hii Inakaaje, Kila anayemaliza kunywa kahawa kikombe kinaoshewa mulemule kwenye kisado nadhani tunakulana midenda
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Wana JF wenzangu wale ambao walikoseana mwaka jana si vyema kubaki na vinyongo..katika kuukaribisha mwaka mpya....ningependa tuchukue nafasi hii kuombana misamaha kwa wale ambao unahisi...
1 Reactions
5 Replies
959 Views
Napenda kukupa hongera mhariri wa makorokocho katika siku yako ya kuzaliwa, lakn style yako ya mask nimeipenda sana napenda nifahamu zaid kwann unavaa hvyo
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Watu WA dar kwa kudandia fursa si mchezo kwa mvua hii uone njia za kuelekea lodge an guest house zitakavyo kua na pilika pilika. Ivi kuna uhusiano wowote WA hali ya baridi na mvua kuongeza hamu...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Ni mtandao kama facebook hivi basi jana nikaingia huko, watu wanne tu niliochat nao wamenifanya niuchukie huo mtandao Wa kwanza alikuwa binti toka Arusha , ile kuchat nae Kidogo tu akapiga...
0 Reactions
34 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…