Kama sio mhalifu kwa nini uogope defender? Je, wewe ni kibaka, mwizi, jambazi, mvuta bangi/madawa ya kulevya au muuza madawa ya kulevya!
Hawa machalii napenda sana nyimbo zao na jinsi...
yani ukidhani eti watakusapoti ulichoandika maweee umeumia watakukandia haooo mpaka ujionee aibu mwenyewe sasa maajabu yanakuja pale ambapo unatarajia kupondwa wao wanakubeba ,sasa usije kutegemea...
Enyi wamiliki na waanzilishi wa Jamii forums chonde chonde nawaombeni mfunge hii huduma yenu kidogo japo hata kwa muda wa mwezi moko tu ili gentamycine mahudhurio yangu na ufanisi wangu kazini...
Habari zenu wakuu..
Nimeulizwa swali na jamaangu mmoja nimeshindwa cha kujibu.
Swali liko hivi...Mchagga na Sigara ni nani hasa anaetokea Moshi? Yaani ni nani hasa mzawa wa moshi..
Ntashkuru kwa...
WE ACHA TU,
Kuna vitu najua Mungu anajua akivipitisha kwangu itakuwa shiiidaaaa. Kwa mfano ikitokea nipate zali la mentali, Mkuu akiamua kunichagua kuwa Mkuu wa Wilaya, hapo jueni kabisa...
NIMECOPY NA KUPASTE
SIMULIZI YENYE KUSISIMUA NA KUELIMISHA
Kijana mmoja aliyekuwa na maradhi ambayo yalishindikanika kupata dawa,kiasi cha kusubiri siku yake ya kufa aliamua kujiunga na jeshi...
Nataka nione kama wewe ni mkali wa maswali ya mitego twende kazi.Ni mji gani una majengo ya kifahari na jina la mji huo ni kifaa kitumikacho Msikitini na Kanisanina vile vile jina la Mji huo ni...
A Rastaman and his friend went to the beach.The friend went for a swim and started to drown.
He came up the 1st time,he shouted "Jah help I."
He came up the 2nd time and shouted "Sellassi save...
Yamesemwa mengi sana kuhusiana huyu msanii wa bongo movie Lulu kuwa kila mwanaume anayekuwa naye kimapenzi kwa muda mrefu mwisho wake ni kifo.
Kama sio kwa kusukumwa ukutani basi kwa pressure eti...
Habari zenu wanajamvi?
I hope mpo salama salmini. Wanajamvi mimi ni bwamdogo tu wa miaka 22 hivi ambaye nimemaliza form 6 mwaka jana ila mwezi huo unaokuja wa Nyerere ndo nitaanza chuo.
Katika...