Napenda kutoa shukurani kubwa sana kwa walioileta hii sikuku ya wajinga duniani.jana nikaona Isiwe tabu kuisherekea, wakati huo nikiwa nachunga nikafanikiwa kuwandugua mashine kondoo wawili...
Huyu binti nimewahi kumtongoza zaidi ya mara 5 na anakataa mpaka naamua kuachia ngazi. Ila cha kushangaza amenitumia ujumbe huu, mwanamke anahitaji kubembelezwa na usipofanya hivyo utampoteza...
Nina mpangaji wangu somewhere, huwa ananilipa kodi kila baada ya miezi mitatu na ameshakaa kwa miaka mitano hivi sasa.
Cha kushangaza ni kwamba kila ikifika muda wa kulipa kodi anasema ndugu yake...
Baby am so sorry. I really love you and I really regret loosing you cos you are everything to me but am caught up in a situation I don't know what to do. I had a one night stand with this guy we...
Wakati nasoma mwali aliniambia kwamba sifuri ikitangulia namba yeyote inakosa thaman mfano 09/01 ni tofauti na 90/10 je mbona namba za simu inasemekana thamani ya sifuri ni code ya nchi yaani 255...
Siku ya wajinga bwana watu wengine huja na staili tofauti hasa walio kwenye mahusiano mara mtu akwambie hakutaki au atakuoa ili mradi tu afikishe ukumbe na wewe ujimbe ufike lakini ujumbe nyingine...
TANGAZO:
Chuo kipya kabisa cha Kikurya
(KURYA UNIVERSITY COLLEGE OF DEATH AND LIFE) kinatangaza kozi na degree mpya kw mwak wa masomo 2014/2015 kama ifuatavyo;
1- VITA miaka 4.
2- KUPIGA MKE...
Habarini wandugu,
Jana nilikuwa naenda kwenye mishe zangu midaa ya usiku hivi sasa nikasimamisha bajajii nikapanda ilee kukaa tu nikashanga nimekalia kitu kwenye sitii kuangalia hivi nikakuta...
Kuna jamaa alikua anamfutilia demu kwa muda mrefu lakin kila akimwambia demu anamkataa siku akamuomba namba ya simu akapewa bàada ya muda akampigia na kulàlamika tena demu akamwambia atamjibu kwa...
Mwenzenu nimelala naomba pakuche ili ikajulikane kama nitafanikisha kuchukua mamba, maana kupitia calls, text, whatsapp n.k. ni rahisi kumvua sato.
Ile nimeingia tu nikapokelewa na booonge la...
Jf TRUISM DAY
siku zote ukweli ndio baba wa imani na roho yako.
UKWELI huleta urafiki,udugu,ujamaa,mapenzi na utu
Je unalikubali hilo ? Kama jibu ni ndio,unaweza kutuambia ukweli wowote kuhuru...
In Tanzania, two friends went for an interview... One was educated and the other wasn't, so they agreed to help each other
They agreed that the educated one should go first... And when he comes...
Uwanjani ni ukawa na ccm. naam mpira ulishaanza muda sema matangazo yalikatika. naona zitto aligombana na kocha wake hapa sasa yuko benchi la kudumu. mpira unaendelea...
MPELELEZI:Hebu Soma Biblia Kitabu Cha TITO 3:2.
GWAJIMA:"Kwa Ujasiri" 'WASIMTUKANE MTU YEYOTE,WASIWE WAGOMVI,WAWE WEMA,WAKIONYESHA UPOLE WOTE KWA WATU WOTE.
MPELELEZI: Je Wakati Unapohubiri...
Mwalimu aliuliza ni sehemu gani ya mwili itaingia peponi mwanzo ?
Darasa zima kimya baada ya kama sekunde selasini kupita Nunda akinua mkono juu karibu ya kusimama.
Mwalimu haya Nunda tupe...
Jamani watu wa hili group naomba msiwe hivyo jamani, maana nimesikitishwa sana kusikia kuna mtu wa group hili jina simtaji ila ajirekebishe, maana anakusanya michango ya chini chini eti...