Wakati nasoma mwali aliniambia kwamba sifuri ikitangulia namba yeyote inakosa thaman mfano 09/01 ni tofauti na 90/10 je mbona namba za simu inasemekana thamani ya sifuri ni code ya nchi yaani 255 kama ni TZ
Hujaeleweka kabisa labda ueleze kwa namna nyingine. Hasa kwenye code ya simu.Ninachojua ni kwamba code ya Tanzania ni +255 lakini badala ya kutumia "+" unaweza kutumia "00" ikawa 00255 na inafanya kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.