Nimewakubali Mwanza,
Kasie is in Rocky city now in da club chilling till morning too bin majogoo uuhuuuuu.... Love u rock city bad luck kesho nasepa.
Love u always,Kasie.
I was at Crest Hotel...
MY TESTIMONY STORY OF MY LIFE
I said I will not keep this opportunity to myself alone because I want your life to be more better than my if every Rich men and women can share their life story like...
Wapendwa wanachit-chat,
Poleni kwa mapumziko ya wikiendi ndefu ya pasaka na Karume.
Karibuni kwenye chit-chat hii inayowahusu memba wanne.
Awali, niliahidi memba sita lakini memba mmoja alifoka na...
Mstahiki meya nimerudi tena jamvini...hakika nimerudi....natumai wote wazima humu....Nimerudi na swali moja tu mengine yatafata baadae......ACT WAZALENDO kwa hapa dar makao makuu niwapi...
Jamaa mmoja alikuwa amevaa miwani meusi mchana na ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kuvaa hiyo miwani.
Kwakuwa alikuwa mshamba na hiyo miwani basi ilipofika majira ya saa 11 jioni aliona ndio...
Nachukua fursa hii kuwatakia wanachitchat wenzangu wote Pasaka ya furaha na amani.Muwaweke watoto wenu 'kibindoni' msiwaachie wajiendee wenyewe kwa kisingizio cha 'kwenda kula pasaka kwa jirani'...
Waganda naona wamecharuka kwenye Vichekesho Industry..! Wamemleta Simon na kundi la Comedy made in Africa.
Pata kionjo vyake viwili.
1. Mgawo wa bahati nasibu...
Ilikuwa hivi Jamaa kakaa na dada mkali siti mmoja,sasa si akaanza kumwimbisha kwa Sauti ya chini,demu kimya akawa hajibu,Jamaa kakomaa,dada si akamtolea uvivu kwa Sauti kubwa naomba unikome!jamaa...
Habari za hivi punde
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa basi lenye usajili namba T 124 DAK likiwa na abiria 61 mali ya kampuni ya hood linalofanya safari zake arusha to mbeya leo majira ya...
katika harakati za kuunga mkono uvamizi wa marekani kwa IRAN tanzania imejikuta ikiunga mkono marekani kutokana na mahusiano yake ya karibu na marekani, Tanzania pia imeahidiwa kupata gawio la...
SITOSAHAU
(simulizi ya kweli) Ilikua jumatano mida ya saa 10 jioni
muda niliokua nimetoka kuoga na
kuvaa nguo nilizozipenda na kuzijali
sana kuliko nguo zangu zote
nakumbuka nilivaa T.shirt...