JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi kiingereza sijui vizuri. Ila nasikia kwa 80% na nikisoma naelewa kwa 85% Tupia maneno ya kuchambana hapa kwa lugha ya kiingereza. Nimeweka hapa hii sababu nimemsikia mtangazaji wa kiliFm...
3 Reactions
12 Replies
686 Views
Chombezo : Biringanya La Mwalimu Sehemu Ya : Kwanza (1) 2 Apr IMEANDIKWA NA: UNKNOWN ********** Siku Ziliendelea kukatika kwa kasi Sana Si unajua tena siku hazigandi.. Hatimaye , Graduu...
6 Reactions
235 Replies
56K Views
Napenda kuwajulisha kuwa, katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya, tarehe 31 nitachoma nyama ya mbuzi nyumbani pamoja na familia yetu. Pia kutakuwa na cocktails pamoja na vinywaji mbalimbali...
8 Reactions
25 Replies
968 Views
Kwanza tambua wewe ni mtu mzima na ushavuka 18yrs kama bado basi umeenda tofauti na ulivofundishwa biology secondary na bado hujafika 18 Kubaliana na litakalotokea huna wa kumlaumu mambo ya gono...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Msomi huyu wa mzumbe kasoma pale na kupata elimu yake mzumbe alicho jifunza ni hiki ambacho ana kifanya leo kwenye macho ya watu Mwijaku siku akiambiliwa alambe mwiko sifikiri kama atajiuliza sana...
0 Reactions
2 Replies
287 Views
MERRY CHRISTMASS & HAPPY NEW YEAR JF Ikiwa ndio leo siku ya kwanza ya msimu rasmi wa sikukuu wa mwaka 2024~2025. Sina budi kwanza kumshukuru Mungu kwa niaba ya wote wataouona ujumbe huu. Pia...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya avatar nilikuwa naziangaliaga juu juu lakini baada ya kuzifungua nilizielewa vizuri mfano avatar ya Tindo huyu yeye ameweka kifaa cha ujenzi mimi siku zote nilikuwa sielewi mpaka...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Ndugu zangu nimetua salama Beijing. Hakika ni furaha iliyoje
7 Reactions
19 Replies
1K Views
1. Wadau hawa wote (Doto na Dr Mauki) ni watu Maarufu nchini a.k.a Influencers. 2. Ukiniuliza mimi nani anastahili kupigiwa mfano kwa kupambana kimaisha na kuwa role model wa vijana naweza kusema...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Hapa wana mazingira wanaona madhara ya matumizi ya chakula chenye makeni ambacho sasa kinakimbiliwa na wanyama. Wahuni wanaona panya mwizi. Waporini wanaona nyama Na ma legend wa IT wanaona...
3 Reactions
5 Replies
416 Views
Huu ni uzi maalumu wa majibu ya kisenzi ya xavier
3 Reactions
10 Replies
534 Views
Huyu bata pichani hapa chini anajifanya yeye ndo yeye kama baadhi mishangazi ijifanyavyo humu JF. Unadhani huyu bata anasadifu tabia ya mshangazi gani humu. Binafsi naona huyu bata kakopi na...
13 Reactions
52 Replies
3K Views
Kwa nini japo nyama ya bata ni tamu kuliko nyama ya kuku ila kuku ni maarufu na analiwa zaidi ya bata ? Ni vigumu sana kupata bata mgahawani au hotelini.
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Kasheshe la Christmas, hapa kijijini kwetu wageni wameamka bila makeup ikabidi watambulishwe upya Walipokuja walitambulishwa na sura zao kila mmoja akazishika ila ilipofika asubuhi hali ikawa...
3 Reactions
2 Replies
358 Views
Wakuu Merry Christmas kwenu Siku ya kwanza wewe kusikia jina KIBAKA ulikuwa unafikiria nini??🤔🤔😅😅 Kwangu Mimi nilikuwa najua ni wazee wa kubaka tu😅 yaani wao wakikukuta kwenye 18 zao hamna...
3 Reactions
6 Replies
483 Views
Maini, mabandama figo na ndugu zao wote leo wajiandae vema kuupokea huu mzigo hevi😂
13 Reactions
21 Replies
820 Views
wakuu siwelewei nifanyeje niko sehemu mtu ananiangalia sana simuelewi wakuu halafu n mdada mzuri lakni
6 Reactions
46 Replies
1K Views
Jana nimeanza kulewa immediately nimetoka kazini. Nikapiga pafu Kama mbili za whiskey 🥃. Shot matata nikaluka home. Nikawaka nikaludi kulewa by Saa 6 nipo chali. My mistake siku nunua Maji as I...
2 Reactions
12 Replies
624 Views
Yes wazawa na wakuja uzi special Mjini hapa Dar tangia ufike una Christmas ngap Binfsi jiji hili la dar nina Christmas 24 Aya wewe mwenzangu hadi sasa hii ni Christmas ya ngapi kuwepo jiji hili
1 Reactions
9 Replies
492 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…