Hivi mambo mengine ya ajabu kwelikweli, unakuta mtu anakupigia simu usiku wa manane halafu anakuuliza, hivi umelala? Mimi huwa nawajibu hapana, nipo nje ninaota jua.
Sijui wewe utamjibu au huwa...
Darasa lolote lile lazima liwe na wanafunzi wafuatao:
1. Mwizi/ mdokozi.
2. Playboy/playgirl. Hawezi kutembea na msichana/mvulana mmoja mara mbili.
3. Group ya marafiki watatu. Kila mara wako...
Mzunguko wa elimu Africa
1-Wale wanafunzi wanaoongoza shuleni hupelekwa kwenye engineering na medical schools huku
2-Wale waliokuwa wa wa pili wanachukua zao MBA na LLB na kuja kuwa ma meneja...
The FBI had an open position for an assassin. After all the background checks, interviews and testing were completed, they had narrowed the field down to 3 possible agents. For the final test...
"jamaa 1 alizamia semina ya wasomi iliyofanyika ubungo plaza; watu wakaanza kujitambulisha wa 1; Naitwa Anna niko SUA mwaka wa2 nasoma Agriculturist
WA2; naitwa alex nipo UDSM mwaka wa3 nasomea...
Ndege anapokua hai huwa anakula sana wadudu, lakini anapokufa wadudu humla yeye maisha yanabadilika kila wakati, kwa hiyo usimdharau wala kumuumiza mtu yoyote katika maisha yako, unaweza ukawa...
Kwa sasa nafasi ya urais iko wazi. Anahitajika rais wa awamu ya 5. Cha ajabu sasa nafasi yenyewe iko 1 tu lakini walioomba ni watu zaidi ya 40. Je hii inaonyesha tatizo la ukosefu wa ajira lilivyo...
Katibu mkuu kiongozi anapenda kutanganza nafasi za kazi za uwaziri katika wizara zifuatazo;
1.Wizara ya Ujenzi
2.Wizara ya Maliasili
3.Wizara ya Afrika Mashariki
4.Wizara ya Mambo ya Nje
5.Ofisi...
hatimae nimefika pale abae nilikua nikiitaji nifike japo bando kukamilisha mipango yangu ila namini iposiku nitatoboa tu hilo namini halina kipingamizi kabisa mana mungu ndo...
Kwa wale waliosoma Njombe secondari kabla ya kuwa High school tujaribu kujikumbusha mambo haya.
1. Kuna vyoo vya shimo nyuma ya mabweni kwa jina maarufu vilikuwa vinaitwa Nyamagana ukiingia ni...
Awe mweupe
Awe anaitwa Jesca
Awe na imani moja nami
Awe mfupi kidogo
Awe na mguu wa kwetu ule
Awe kaishia la saba au fm4
Awe mchaga
Jamani ndoto hii sijui itatimia lini mie!
Kwa wanawake inawezekana rangi ya pink ni kutokana na yale maumbile yao ya kike kwa ndani sijui nimeeleweka? Kwa wanaume hiyo asili ya bluu ni nini?
Update:
Huko google nako nimesachi lakini...
Najua upo ndani ya mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani ukitekeleza mojawapo ya nguzo muhimu za uislamu. Pengine uameamua kutokuchangia mada jamvini kwa kuepuka kuharibu funga yako. Binafsi...