bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,977
Katibu mkuu kiongozi anapenda kutanganza nafasi za kazi za uwaziri katika wizara zifuatazo;
1.Wizara ya Ujenzi
2.Wizara ya Maliasili
3.Wizara ya Afrika Mashariki
4.Wizara ya Mambo ya Nje
5.Ofisi ya rais kazi maalum
6.Wizara ya Katiba na Sheria
7.Wizara ya Uchukuzi
Pia Manaibu waziri katika wizara hizi wanahitajika
1.Wizara ya Fedha
2.Wizara ya Sayansi na Mawasiliano
Pia
1.Waziri Mkuu anahitajika
Usaili utafanyika kesho na kazi kuanza kesho hiyohiyo mpaka December 2015.
Sababu za kutangaza kazi ni kua mawaziri wako busy nchi zima na suala la kutafuta wadhamini.