Mange Njile
Member
- Jun 27, 2015
- 63
- 2
hatimae nimefika pale abae nilikua nikiitaji nifike japo bando kukamilisha mipango yangu ila namini iposiku nitatoboa tu hilo namini halina kipingamizi kabisa mana mungu ndo anaepanga liziki nakila mtu kapangiwa nakila mumoja atabeba msalaba wake chamsingi nikuhaso kabla hujazeheka ama nini saluti kwenu malafiki zangu natumaini. Tuko pamoja na nyi au sio