Hepi Bethidei to me

Hepi Bethidei to me

Hepi besdei totoo,nakutakia makuzi mema eeh...heshimu wakubwa na wadogo eeh. Nakuletea nepi badae
 
Wakuu natumaini mu wazima:A S 103:
....ngoja niwanong'oneze jambo:gossip:
Leo ni siku yangu ya kudhaliwa wacha nijipongeze bana.:majani7:
''Hapi bethidei to Me'' Japo bado niko soro! teh teh teh:flame: teeeh...😛oa
****:msela:****

Kuna Siku POPOMA Mmoja Nilimtakia Happy Birthday Na Yeye Akanijibu Same To You Hivyo Nahisi Na Wewe Nikikuambia Happy Birthday Utasema......................Just Kidding Mkuu Na Ninakutakia Happy Birthday Na Mwenyezi Mungu Akupe Kheri Na Miaka Mingi Ya Kuishi Duniani Na Akusamehe Pia Dhambi Zako Kama Zipo Huku Akikupa Furaha, Amani Na Afya Njema. Party Wapi Nije Nipige " Ndefu " Niokoe Gharama Ya Msosi Kwangu?
 
Mhhh logically hii siku haikutakiwa kusherehekewa kabisa. Cause as miaka inavyokwenda kifo ndio kinakaribia !
 
Likewise ''Same to you'' hahaa just kidding..

Thanks alot mkuu yaani leo nina furaha ile mbaya, I'm sorry sikuandaa part but next time nitaandaa special kwa ajili ya wana JF.

Poa Mkuu Ngoja Niendelee Kutafuta Humu Birthdays Za Wengine Ili Niombe Mialiko Nakapige " Ndefu " Tupunguze Ukali Wa Ugumu Wa Maisha.
 
Wakuu natumaini mu wazima:A S 103:
....ngoja niwanong'oneze jambo:gossip:
Leo ni siku yangu ya kudhaliwa wacha nijipongeze bana.:majani7:
''Hapi bethidei to Me'' Japo bado niko soro! teh teh teh:flame: teeeh...😛oa
****:msela:****

Mola akuzidishie miaka mingine buku mbele, akuepushe na Shari na hila za wanadamu, na akutimizie kila unalo/ulilomuomba "Happy birthday to you toto"
 
Likewise ''Same to you'' hahaa just kidding..

Thanks alot mkuu yaani leo nina furaha ile mbaya, I'm sorry sikuandaa part but next time nitaandaa special kwa ajili ya wana JF.

Na hiyo party ukiandaa uniweke kitengo cha kushika hela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom