Habarini wanajamvi,
Natumaini mko poa sana kama unaumwa nikupe pole sana utapona.
Ni hivi mimi ninakaswali ka kizushi hivi ni kwanini mara nyingi mtu akianguka bahati mbaya unakuta atachekwa...
Poleni na kazi wakuu, nimekuwa nikijiuliza haya majina yenye herufi ya kwanza kwenye majina yanayoanzia na M yawe ni ya marais, wabunge n.k. yana matatizo au sifa gani. Naanza kwa kumpa salute...
Leo mtu mwenye heshima zake alinitumia message akiuliza""mchungaji yuko hapo au kaondoka"?
Nikamjibu kaondoka kaenda kwenye mambo yake kidini ,kweli hali ya hewa ilichafuka kumbe simu...
BREAKING NEWS
Slaa arudisha kadi.. Katika hali isiyotazamiwa na wengi, katibu mkuu wa Chadema, Dr. Slaa, amejiondoa rasmi katika orodha ya wateja wa Startimes. Hii imetokana na kukatika kwa...
Wakuu habari zenu
Leo napenda kushiriki nanyi jambo hili. Mara nyingi niwapo na Wifi/ Shemeji yenu uwa napenda sana kumwona akilia na kutoa chozi kwa ajili yangu.
Muda mwingine namchokoza...
Labda mimi ni mlafi au mshamba, ila sijawahi kubakisha hata tonge moja la chakula cha Sh 2,000/= - 3,000/= cha kupimiwa kwenye sahani. Sasa napata maswali mengi na wakati mgumu ninapomuona...
Mambo si kitoto,6 weeks ni nouma aisee.
Wapi madoja na style yao ya vasco dagama,wapi kimbinyiko,wapi komsanga na genda genda,vp ile mvua ya juzi pamoja na na ile ya siku ya intro? (kurutu leo...
Kufuatia mwamba wa Kaskazini kuhamia upinzani, breaking news hiyo iliwastua sana Mkulu na Maza na hivi ndivyo ilivyokuwa.
Mkulu: Baby, vijana wamenitaarifu habari za nyumbani kuwa ni nzuri ila...
Oyo Oyo Oyooooooo
kiukweli jamani hii tabia sio nzur yani mwanaume uliyekamilika unasimama mbele ya kadamnasi ya watu unakata mauno ??????? yani unazungusha nyonga hata Mimi niliopelekwa unyagoni...
Wadau,
Poleni na kazi najua wengi macho na maskio yetu yapo kule jukwaa la siasa ili kujua nini kinaendelea.
Back to topic
Jana mida ya saa 12 jioni nikiwa na ka mchepuko kangu tunaingia...
Ninaingia JF na kujitosa kwenye jukwaa mojawapo. Nasoma thread kadhaa na post zake.Kwenye post ya mdau aitwaye Mzee wa Rula, sisomi post. Macho yangu yanaganda kwenye avatar: kibonzo kinapigiza...
Kwa wale wa Dar au mnaopitapita pande hizi .Tusaidiane kitu labda mimi mgumu kuelewa.Huu mkorogo wa jina la kituo kinachotumikaSasa baada ya kile kilichokuwepo Ubungo Tanesco kuhamishwa siuulewi...
Siku yaleo iwe ni chachu ya kufikia mafanikio yako....kila ulifanyalo likafanikiwe....kila jema uwazalo likatimie...kila uingiapo na kutoka ukawe baraka...kila akuonae upate kibali kwake. Ukawe ni...
Wadau,
Toka nianze kutumia internet juzi juzi tu hapa nikitembelea tovuti mbali mbali, naona matangazo ya kuwa single girls wengi wazuri in my area wanataka kukutana na mimi. Yaani nashindwa...