JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kweli, hiki kitu sijakiona. Huu ni mwaka wangu wa nne hapa jf, na ID za wadada wa Jf ni za aina aina pamoja na zenye neno 'miss', 'madame'. Lakini sijakutana na id ya mdada yenye neno 'mrs.'...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Habar wana jf Kama kawaida Leo watan wa jad simba na yanga wana kipiga Matokeo yapo HV sasa ni dakika ya 39 n Tim ya yang imeshinda YANGA 2 SIMBA O Polen sana mashabiki wa simba kwa kipigo hcho
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Jamaa kaniuliza:Nasikia kuna mademu wanajiuza?Nikamjibu,Sijui kwa sababu mimi siko kuvamia mademu facebook akasema kweli wewe muaminifu warembo wote hujaopoa hata mmoja?Nikamjibu usibabaike na...
1 Reactions
51 Replies
18K Views
PESA IBILISI EBU SOMA HII KWANZA MZARAMO V/S MCHAGA Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote kwa tsh. 100,000/= na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki yako na kukuongeza laki...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hivi ushawahi kudaiwa nauli na kondakta afu akasema "anko hapo nyuma" afu na ww unamjbu "nimebanwa ntakupa nikishuka" endlea na ww
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanzo Mimi sikua muumini sana wa michepuko ya kudumu, nilikua muumini Wa ile policy hit and run, ili kukwepa gharama za uendeshaji, nikijisikia kubadilisha mboga, natafuta Wa siku hiyo hiyo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa matokeo yoyote yatavyokua katika Mechi ya Watani (YANGA na SIMBA) kesho, Hitimisho la shamra shamra na maumivu litageuka kuwa CCM vs UKAWA. Ni mechi itakayokuwa na aina yake kwa historia ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilipomaliza Chuo Kikuu Mwaka Jana Mzee Wangu Alinunulia Boda Boda Mpya Mwezi Wa 8.Nikaanza Tempo Yangu Ya Bodaboda.Nilikua Napata Wateja Wa Jinsia Zote.Mara Nyingi Wadada Na Wamama Wengi...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Enjoy...................https://www.youtube.com/watch?v=Cb9HZF4ZRGI
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tupo najamaa zangu pub hapa ...wateja wapya kibao....female ones wamependeza kwa kweli kama invyokuaga shuguli za nyama choma. Wana curves zanguvu..I wonder kwanini wanaume tunapenda kuangalia...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo ni siku ambayo nina furaha sana kwani nimefanya maamuzi mazito ambayo wengi hawawezi na wameshindwa kuyafanya... nimekwenda kupima virusi vya HIV na nimerudi nyumbani nikiwa na FURAHA tele kwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Lowassa akipata robo ya kura za Watanzania ikifika Oktoba 25, nitatembea uchi mitaa yote ya Kariakoo na Manzese. Huyu babu ameshachoka na hajiwezi tena kwa jambo lolote. Kuwa Amiri Jeshi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ratiba yangu ya oktoba 25: 1. Naamka mapema sana 2.nakunywa juice ya ukwaju kupata hasira 3.naangalia picha kadhaa za wamama wamelala zahanati wanne wanne 4.naangalia picha ya mwangosi 5.nakunywa...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Gari hiyo hapo! Rav 4 ipo katika hali nzuri tu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Siku Zote Nilikuwa Nikidhani Kuwa Hizi Foleni Nyigi Za Hapa Dar Zinatokana Na Msongamano Wa Kweli Wa Magari Badala Yake Leo Mwenyewe Nimethibitisha Kuwa Kumbe Foleni Nyingi Za Jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni maharagwe na karanga. Nakumbuka siku ya kwanza mm kula maharage ni siku nilikuwa nasafiri na baba... basi kaniagizia chai maandazi na maharage...ile nimekula vijiko viwili vya maharage...
0 Reactions
118 Replies
17K Views
Imetokea jana maeneo ya mtaa wa Kongo Kariakoo baada ya kibaka kumvizia Mchina na kisha akampiga mtama wa nguvu na kumpora simu aina ya Galaxy. Mchina alisimama akajifuta vumbi na kuanza...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Juzi tu kaja anataka nimuongezee fedha akalipe ada ya mdogo wao wa mwisho yuko academy moja hapa mjini kidume nkajichanga nkapata laki tano ili kujenga jina... Nkaambulia thx honey nyingi tu...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Hivi mmesikia hii ya wazimu flani na tajiri mwenye range? Tajiri mmoja alipenda sana kunywa chai kwenye mkahawa flani. Alikuwa akiegeza gari lake anaingia kwenye mkahawa. Wazimu flani akapita...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…