nyakoremanyanswi
New Member
- Sep 16, 2015
- 2
- 0
Lowassa akipata robo ya kura za Watanzania ikifika Oktoba 25, nitatembea uchi mitaa yote ya Kariakoo na Manzese. Huyu babu ameshachoka na hajiwezi tena kwa jambo lolote.
Kuwa Amiri Jeshi Mkuu yataka uwe na afya madhubuti jamaniii... Pole sana Mzee wangu Lowassa. Bila shaka hata yeye anaomba uchaguzi ufanyike hata kesho ili apumzike sasa maana amejionea mwenyewe ugumu wa kupambana na CCM ulivyo.
CCM HOYEEEEEEEEEE :glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy: