kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,999
- 2,582
Leo ni siku ambayo nina furaha sana kwani nimefanya maamuzi mazito ambayo wengi hawawezi na wameshindwa kuyafanya... nimekwenda kupima virusi vya HIV na nimerudi nyumbani nikiwa na FURAHA tele kwa sababu nimekuta zahanati imefungwa na hakuna daktari hata mmoja.