Mechi ya watani kesho, kumalizika kwa furaha

Mechi ya watani kesho, kumalizika kwa furaha

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,149
Reaction score
10,879
Kwa matokeo yoyote yatavyokua katika Mechi ya Watani (YANGA na SIMBA) kesho, Hitimisho la shamra shamra na maumivu litageuka kuwa CCM vs UKAWA.

Ni mechi itakayokuwa na aina yake kwa historia ya Nchi hii.

Usiache kushuhudia.
 
Yanga woyeeeeeeeeeeeee...mabadilikoooooo....Lowassaaaaa!
 
Back
Top Bottom