JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
It is with bulky reluctance that I chapfallenly exhibit my valediction after a perpetual, conciliatory, and debonair stay in Tanzania. Although we never got to comprehend each other, the much we...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I have been watching action movies too much lately, current mood Popote panaonyeshwa aina hiyo, nitafika, tena my treat.
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Natumaini wana jamvi mko poa na poleni na miangaiko ya hapa na pale ya kutafuta riziki... Jumamosi ya leo nikaona sio mbaya tukikumbushana miaka hiyo ilikuwaje. Unakumbuka mafuta ya mgando ya...
1 Reactions
63 Replies
16K Views
Mwenye pesaaaa... 1.anayeweza kulipia dstv premium hata ifikie 500k 2.ambaye halalamiki jf eti dstv wamepandisha 3.lazma umiliki gari lisilopungua 45mil 4.unampeleka dem mall za maana...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Tupige kampeni hata za MTU kwa MTU ,Jana nilikuwa NA Mchepuko mazungumzo yalikuwa kama ifuatayo. Mimi. Baby umejiandikisha?! Mchepuko: ndiyo. Mimi: baby unanipenda?! Mchepko: ndiyo nakupenda...
4 Reactions
16 Replies
6K Views
yawezekena ulitembelea kabila lolote ambalo sio kabila lako ukakutana na menyu/msosi ambao hujawahi kuupiga hata cku moja, embu tupia hapa tuone... mi naanza WASUKUMA...... MCHEMBE
0 Reactions
14 Replies
15K Views
#Hapa GizaTu #Kidumu Kimetoboka #Sera1:Push Up #Sera2:Matusi #sera3:Propaganda #sera4:Wasanii #sera5:Malori
0 Reactions
2 Replies
1K Views
napat wakati mgumu katika kugagandisha maziwa ila nashindwa kabisaa help me guys
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani e! Naombeni ushauli wenu, maana kuna uyo msichana hajawahi kuniona wala mie kumwona lakini anajishobosha kwenye simu, isitoshe ni mdogo ake lafiki angu.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hadi uchaguzi utakapoisha nwatwangwazwa kutwoa zwawadwi kwa mwodwi atakayeongozwa kwa kufuta threadwi na postwi zangu nyingi kuliko wengine.
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Alovera products kwa anaehitaji contact 0683960762 for whatsapp 0654504794 for calls n normal txts
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Mke wangu charty natumaini u mzima wa afya. Nimekuwa bize sana mwezi wote wa September.Kama nilivyokuaga nimepewa jukumu la kuakikisha Lowassa anaingia Ikulu leo tupo huku Monduli mzee Lowassa...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
John aliingia chumbani kwa mama ambaye ndiyo tajiri yake bila kupiga hodi na ikawa hivi Mama: Wewe John mbona unaingia chumbani kwangu bila kupiga hodi??? John: Kwani kuna ubaya mama...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Hapa unatupia kitu cha ajabu sana ambacho uliwahi kuambiwa/kufanyiwa na mpenzi wako wa zaman au wa sasa na kikakuacha mdomo wazi. MIMI naanza........ 'Baby naomba unibebe nimechoka' afu akakaa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Umekutana na mrembo au mwanaume jf..mkazoeana na kupendana kwa pm tuu.. Siku mnaamua kupanga kukutana, mnakubaliana mkutane maeneo fulani, wewe unawahi kufika kabla yake..kwa mbali unaona ni mke...
3 Reactions
76 Replies
5K Views
Jamani.. Baada ya uchunguzi wangu wa muda mrefu nami nimelileta kwenu,, sijawahi muona Mzungu mwenye mwanya, utafiti unanifanya nianze amini huu ni ugonjwa wa Afrika tuu. Je, we umewahi muona...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Narudi safari hapa, nafika nyumbani kufungua friji nakutana na vifaranga vya kuku wakat mimi niliweka mayai! Tanesco ipo siku tutajatoana roho haki ya nani tena..
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Maongezi Ya Madada Wawili Waliokuwa Ndani Ya Gari Linaloenda Mkoa Yalikuwa Hivi Da 1: Hivi wewe unapenda kuolewa na mwanaume gani? Da 2: Namtaka BILLIONEA Da 1: Je, Ukimkosa? Da 2: Bas...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu nawakaribisheni wote katika mradi wangu mkubwa wa bar & restaurant ujulikanao kwa jina la JF Bar & Restaurant. hapa Kinondoni. Karibuni mje mkate kiu kwa kupata mvinyo,pombe,juice,baga na...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…