Today is My Happy birthday................. Alhamdu lilahi Nina mshukuru Mwenyeezi Mungu kwa kunifikisha mpaka siku yangu ya leo ya kuzaliwa Karibuni wote Marafiki Zangu tusherehekee Sikukuu...
mwalimu mmoja alitoa zoezi la kuchora mfumo wa uzazi wa mwanamke...
juma akamuona Rehema anafunua sket kisha anachora ... hapo hapo Juma akasema kwa sauti mwalimu Rehema anaibia
JE?kama wewe...
habarini zenu wakuu, ninaomba mnisaidie mimi ninarafiki angu tunaesaidiana kwenye shida na raha hawezinificha ki2 wala mimi cwezmficha ki2, kuna cku moja mme wake alinitumia txt ya kunitongoza mm...
Dear mwanatumu i love you with all my heart and soul i love you more than myself i love you and i will always love you till the end of time till my last breath i love you for whom you are am not...
Mko powa wanabodi,
Nimeona leo niwahabarishe hili tatizo linaloutesa moyo wangu ni ukweli kuwa huyu mtoto wa huyu mkenya nampenda kutoka moyoni ila pakuanzia nimeshindwa kabisa,kwa yeyote mwenye...
Wadau inawezekana kasi hii ikasababisha watu kupoteza kazi kwenye taasisi ambazo haziendeshwi kwa faida mfano TRL nk.
Hapa jamvini unaweza kutoa ushauri hawa wenzetu waanzie wapi ili maisha...
Nilipokuwa shule ya msingi, kuanzia darasa la 4 hadi la saba, maksi zangu za hesabu kwenye mtihani zilikuwa zinacheza kuanzia 03% hadi 9% hazizidi zaidi ya hapo . Matokeo yalikuwa yanatangazwa...
Kuna kisa kimoja:
Jamaa alienda na mke wa mtu Disko, wakati ameondoka, majirani wakamtonya mume kwamba mke wake ameondoka na hawara kwenda Disko. Mume akachukua panga na kuelekea penye Disko...
HAYA HAYA KAZI YA MAGUFULI YAANZA RASMI
Ni katika kikao kilichowahusisha wafanyakazi wa sekta binafsi nchini.
Mkurungenzi na mmiliki wa IPP media, ndugu Reginald Mengi alishikwa mkono na...
Niliwai kua na meneja wangu mmoja ( mzungu ) wakati tuna aanza kazi tukiwa a fresh team wote, kwa maana ya kwamba ndio kwanza tulikua tuna aanza ajira tukiwa watu 10 mixer ladies humo alisema "...
Wash'kaji eeeeeeeh!
Huku kitaa nimepanga nyumba flani hivi ambayo mabanda ya uani ni madogo sana,na hayana roof ya jipsam wa ceiling_board basi kuna joto kinoumah!
Ila vyumba vya nyumba kubwa ni...
Bila shaka vilio na kusaga meno vimetanda nchi nzima. Hasa kwa mashabiki wa UKaAWA waliokuwa na nafasi kubwa serikalini. Kwa mfano Rished Bade na wengine wengi. Kasi ya Magufuli ingawa ina mazuri...
Historia fupi kuhusu tembo kama huijui,,TEMBO ni Mnyama mwenye uzito wa tani 7 na anakula Chakula kilo 300 kwa siku na Lita 40 za maji, Pia TEMBO Jike anabeba Mimba kwa miezi 24 sawa na miaka 2...