JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala hahangaiki sana...Anaingia kwenye PHONEBOOK yake anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha...AnaCOMPOSE Meseji Tamuuu ambayo kila...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu! habarini za mida hii? Kwa moyo wa ukunjufu kabisa.. Naombeni tuwe na umoja na upendo tena uzidi ule wa mwanzo.. Tofauti zetu tuzitupe kule.. Tuliowakwaza kwa njia yoyote ile twaombeni...
20 Reactions
537 Replies
26K Views
Wakuu habarini jamani, Baada ya kujipanga mwaka mzima , nikaamua kutumia kajibonasi kangu kufanya ziara mlimani city. Huwa napitaga tu nikitoka Mwenge kwenda Ubungo. Sijawahi kuingia. Basi bwana...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
👉ukisikia mpenz wako anakuita baby ujue kuna mkubwa wako"!!! 👉Sio kila anayekwambia I love anakupenda wengine wanajifunza kingereza. 👉Mke Mwema Anatoka Kwa MUNGU,mume...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baba anamuuliza mtoto wake wa kiume: Baba: Ukiwa mkubwa utapenda ufanye kazi gani? Mtoto: Mimi napenda sana Udaktari!!. Baba: Kwanini? Mtoto: Kwa sababu ndio kazi pekee unayoweza kumuamuru mke wa...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Mapenzi ni kikohozi kuyaficha ni vigumu sana. Nimetokea kumpenda mwanadada mtangazaji wa BBC dada Zuhura Yunusi,nimefikia hatua ikifika saa tatu usiku nikiwa mbali na gheto inanibidi nikimbie...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Emmanuel Michaelkm TUCHEKE NAYE BASI KWA LEO TU Kuna kichaa mmoja alitoroka Mirembe hosipital alipofika nyumbani akampigia nesi na mazungumzo yakawa hivi: KICHAA:Halloo,vipi naongea na nessi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani leo nimeliwa pesa nyingi kwa mchezo huo , naomba mnipe njia za kuweza kushinda nilipe kisasi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, Ni kwanini kila mtoto akimuuliza mzazi wake alikua akipata marks ngapi darasani lazima mzazi atasema alipataga marks 100. Je wazazi wetu walikua na akili sana au mitihani yao ilikua...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Mambo vip wanaume wenzangu? Eti mfano kuna mrembo mmekua mkiwasiliana mara kwa mara kama rafiki wa kawaida, ikaja ikatokea ukamtamani na ukampiga sound ila jibu lake yeye anakuambia tu uache...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Baba anatembea na house girl, housegirl anatembea na houseboy. Houseboy anatembea na mtoto wa kwanza wa baba. Mwisho wa siku housegirl anapata homa anakwenda hospital vipimo vikaonyesha ni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Utafiti unaonesha watanzania wengi wanalala store. Wengi chumbani kuna kabati, tv, jiko la gesi au mchina , vyombo, vyakula, mboga, nguo, meza, makochi. Kihalisia chumba cha.kulala kinaitaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau habari zenu kwa anayejua recipe ya cheulo naomben anielekeze. Thanks.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kila picha ni hatari kabisa unaweza zani upo venezuela , ama jomeka lakini ni bongo hatari sana ila nahisi sio wahusika ila siwezi hukumu labda ni raslimali zetu.
1 Reactions
190 Replies
15K Views
Wasalaam ndugu zangu, La mgambo likilia ujue kuna jambo. Mwisho wa mwaka huu nimeanzisha kampeni mpya humu JF inaitwa #TAJAUMRIWAKO. Lengo langu likiwa siyo kuvuruga bali tu kujenga...
0 Reactions
135 Replies
10K Views
Mwizi mmoja baada ya kuchezea kichapo kikali akajifanya amekufa. Watu wakataka kumchoma moto. Hakukuwa na majani ya kuchomea, jamaa mmoja akaita.. "Oyaa leteni majaniii" mwizi akajibu "Temba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu Watanzania leo nia mgeni ameniambia amezaliwa mwaka 2070 sayansi ipo mbele sana hivyo watu wa New Jerusalem city the world Super Power wameweza kutengeneza machine ya kurudi siku za...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
If you have any problem concerning your smartphone plz dial0715378899
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Siku moja Baba alinikuta nampukuchulia mahindi kuku wangu ambae bibi alinipa nilipoenda kumtembelea kijijini, Baba akaniuliza huyo kuku niwanani? nikamjibu wa kwangu, akaniuliza mwanangu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom