bbwaoy
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 466
- 468
Niliwai kua na meneja wangu mmoja ( mzungu ) wakati tuna aanza kazi tukiwa a fresh team wote, kwa maana ya kwamba ndio kwanza tulikua tuna aanza ajira tukiwa watu 10 mixer ladies humo alisema " one of the bad ideas is when you will start dating your fellow co- workers / colleagues.
I won't advice you to date your co-workers " basi trust me tume kaa na hawa watoto wazuri ofisini lakini tulishindwa kuwa tongoza kwa sababu hio ya huyo meneja au huo ushauri tuseme.
Nika aacha kazi huko kwa uzuri lakini, nika hamia kampuni nyingine huku sasa ndio nime kutana na binti mzuri ambae kila asubui niki iingia ofisini ana nimaliza kwa kweli nampenda, namtamani, na tamani angekua wangu lakini najiuliza je ni sahihi niki mtongoza?
Vipi akikataa itakuaje humo ofisini? Je ni sawa kumtongoza mwanamke ulie nae ofisi moja? Sema bado naona hayupo classy sana sio sister duu japo ni mzuri like I wish ninge kua nae nim transform to something she wasn't even aware of nahisi jamaa alie nae hampatii huyu mwanamke vitu flani flani. I love her, she is my co-worker naanzaje?
Sitaki maneno yaku mwambia hayo niachieni mimi nataka tips hivi au best moves I can apply.