SirSuleiman
Member
- Jul 6, 2015
- 80
- 8
Emmanuel Michaelkm
TUCHEKE NAYE BASI KWA LEO TU
Kuna kichaa mmoja alitoroka Mirembe hosipital alipofika nyumbani akampigia nesi na mazungumzo yakawa hivi:
KICHAA:Halloo,vipi naongea na nessi wa MIREMBE HOSIPITAL?
NESI:Ndiyo,je nikusaidie nini?
Naomba uangalie chumba no.17 kama kuna mtu uniambie
NESI akaenda kuangalia na kukuta hamna mtu
NESI:Nimekuta hamna mtu
KICHAA😛oa nilitaka kujua kama kweli nimetoroka
UMETISHA
NAkuomba unipe sapoti kwa kubonyeza hapo chini
BOFYA HAPA
ASANTENI SAAANA KARIBUNI KWANGU