kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,271
- 1,810
Mapenzi ni kikohozi kuyaficha ni vigumu sana. Nimetokea kumpenda mwanadada mtangazaji wa BBC dada Zuhura Yunusi,nimefikia hatua ikifika saa tatu usiku nikiwa mbali na gheto inanibidi nikimbie mchakamchaka nikasikie sauti yake na kuona mavazi yake yenye heshima kwa mwanamke hasa nimtakaye. Japo imani zetu kidini ni tofauti lakini vyovyote atakavyotaka mimi tatekeleza tu maana hamna namna.
Jamani nisizunguke sana lengo langu ni kumuoa. Mahari huku kwetu Kahama ni ng'ombe hivyo nimeandaa ng'ombe 25. Ila kama ashaolewa naomba samahani kwa shemeji yangu kwa kumkwaza pasipo kudhamiria.
NB: Ndugu zangu msinichukulie kama natania niko serious kabisa maana sitaki kabisa wanawake wakali na wasio na nidhamu (wasiofuata mila na desturi za kiafrika) Naona Zuhura anakidhi sifa zote. Natanguliza shukrani.