Msamaha wa kweli unahitaji Neema ya Mungu. Sikiliza hii,
Kuna jamaa mmoja na Mkewe walikuwa wanasafiri kuelekea Italia kwa safari ya kibiashara kwa ndege. Wakiwa angani likatoka tangazo kwamba...
MADA
mkeo anarudi nyumbani kavimba vibaya!, unamuuliza anakujibu Kuwa kakutana Na vibaka wamemvamia, ila ukimcheki kila kitu chake karudi nacho, unapeleza unagundua kapigwa Na mchepuko wake...
Mama mpenda UMBEA alishangaa kila siku mchungaji anaingia nyumba ya jirani yake ambaye hana mume, akawa anajiuliza anakwenda kufanya nini?
Uzalendo ukamshinda akamuuliza "Mwenzangu, mbona kila...
Baada ya kuzamia Ulaya jamaa yangu mmoja kutoka Nyanda za juu kusini, kijiji chao kikiwa jirani kabisa na kijiji chetu, hatimae akawa anaishi Uswisi. Lakini maisha yake yalikuwa ya kujifichaficha...
Habari humu,
Mi ni mzima tu, jf sasa imekuwa maarufu na yenye manufaa sana tena zaid sana imekuwa sehemu muhimu ya kuondoa msongo wa mawazo, ila usipokuwa makini unaweza kutoka huku umekasirika...
wakuu habarini za wakati huu.
kuna hili swla la kutumia baadhi ya ID hapa JF kwakweli inabidi tuwe makini kidogo
Juzi nilipanda na mama mtu mzima tu kwenye basi kutoka dodoma kwenda morogoro...
NDANI YA KANISA:
MCHUNGAJI: Ningekuwa na uwezo ningechukua Guiness zote na kuzimwaga mtoni!"
Waamini wakajibu Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Safari zote na kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen...
Juzi kwenye kijiwe kimoja kariakoo ambapo huwa napata kahawa/tangawizi mara mojamoja ili kujua yanayotokea mitaani kulikuwa na mabishano makali kuhusu mapigano yaliyotokea China baina ya makabila...
- Naomba kutumia GPS zenu wadau muweke maeneo yenye watoto wakali (kwa muonekano wa machoni) hapa Dar ili kuwasaidia wenzangu na mimi wanaosaka wachumba kuweza kufanikisha zoezi kwa urahisi zaidi...
Leo ni birthday ya Malcom Lumumba,..Almanusura nipate ajali leo asubuhi navyoenda kazini daah.
Kweli wanawake siyo madereva wazuri. Yani anataka kunisababishia ajali kwenye siku yangu ya...
MKE: Ulilala wapi? Unanidharau sana unanirudia mie alfajiri, leo lazima unambie huko ulikolala
MUME: Mke wangu mpenzi jana nilichanganyikiwa, si unamfahaamu rafiki yangu Joshua, basi jana dada'ke...