Msitutishe: mnapotangaza bidhaa zenu

mwenyeKitu

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
946
771
Wauza bidhaa hasa za lishe au dawa mbadala tuambieni uzuri wa bidhaa zenu na sio kututisha kuwa tuna sumu mwilini etc.
 
Hizo ni biashara tu,kuna vyakula waweza kula vikaondoa sumu mwilini,hao wanatafuta hela
 
Back
Top Bottom