JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Am proud when my ex-galfrnds get married, it shows that my relationship academy is doing extremely well coz it produces women that can be wives. Anyway for those interested september intake is in...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu uzi kwa wadada wa jf tunataka kuvunja mabishano ya nani zaidi kati ya Wanaume wa Dar na Mikoani. Wadada ukiambiwa uchague kati ya mwnaume wa Dar na Mikoani yupi utachagua kwanza? Pia Wanaume...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Nina mpenzi wangu ambaye nimedumu naye muda mrefu sana na nilikuwa na malengo ya kumuoa kati ya mwakani au mwaka unaofwata ila kuna tatizo limenitokea muda huu hapa na hilo tatizo ndo limenifanya...
3 Reactions
135 Replies
9K Views
leo ni siku ambayo nimekutana na rafiki yangu kipenzi. Basi akaamua kunipeleka viwanja fulan hapa dar! Nikamwona rafiki yangu akiagiza bakuri mbili za supu! zikaletwa, kuzichek nikakuta ni supu...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Injinia aliulizwa kuna tofauti gani ya kiufundi kati ya welding (kuchomelea) na wedding (harusi)?? Akajibu. sio kubwa zote ni viungo(joint) ila katika welding kuna cheche kwanza halafu ndo...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Mademu wengine wana lawama...Wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele...atamsuta "Umekosa nini Mwanaume huridhiki,Utamaliza Nyama bucha Ileile,kwani mi sikupiiii,si nakuuliza wewe Hasidi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamaa alikuwa kanisani,jirani yake akamnong'oneza "kwa uwezo wa Mungu leo utatembea".....jamaa akafikiriaaaa "mbona sina ulemavu wa miguu?" Lakini akaona hamna noma,labda Mungu anataka kufanya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mvulana: Hivi Mama nikifikia umri gani ndio nitaanza kuwa huru, naenda ninapotaka na kufanya ninachotaka na ninarudi muda ninaotaka na wewe mama huniulizi kitu? Mama: Babaako mwenyewe hajafikia...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamvi mimi mwenzenu same time hua nakaaa najiuliza maswali nikiona sipati jibu ndo nawashirikisha kwa kupata ufafanuzi zaidi maana naaminigi sana j.f. kuna zaidi ya vichwa!! Swali lenyewe ni...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu karbuni katka thread hii ya kibabe, thread ya kuwachana wote wanaozingua.. tuwe wakweli Na ujumbe uwafikie wanao husika..!! Mm nianze Na hawa mastaa wabongo wanao jifanya wanajua kizungu...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Wana jamii tafadhali naomba kufahamu kiwango cha elimu cha Kibonde na Regina wa clouds FM kipindin cha jahazi
0 Reactions
52 Replies
9K Views
Mwanafunz alikuwa kila siku anachelewa shule, na kila siku alikuwa anachapwa, basi siku moja mwalimu akaona ngoja amuulize. Mwalimu: Mbona unachelewa kila siku? Mwanafunzi: Nakaa mbali mwalimu...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
Mlevi wa kutupwa yuko chakari na mkewe kitandani anastarehe kwa kumtomasa mkewe matiti. MLEVI: Mke wangu mbona maziwa yako makubwa sana leo? MKEWE: We nawe na mipombe yako!,unashika matako unasema...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
"Unapokimbia peke ako unawahi kufika ila unapokimbia na wenzako unaenda mbali zaidi."
0 Reactions
2 Replies
811 Views
*MAJINA YA GIRLS NA SIFA ZAO KWENYE MAPENZI* 1.Nancy - Muongo 2.Julieth - Kicheche 3.Mary- Anapenda mwanaume kwa kitambo kirefu 4.Precious - Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza 5.Hellen - Ana...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Leo jamaa akaniambia twende sehemu tulivu kupata chochote! kwa sababu tuliekuwa nae tumepoteana kitambooo! Leo tulivo kutana akanipeleka viwanja fulan hapa dar. kumbe sehemu hiyo si wanapika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1 kuwa mcheshi kwake 2 uwe mtu unaemjali mchukulie kama dada au mdogoako 3 akigombezwa kuwa wakwanzza kumtetea, wakemee wadogo zako na ndugu wakileta dharau kwake 4 mshirikishe kwenye mambo yako...
11 Reactions
64 Replies
10K Views
karibuni sana katika forum hii, members wa forum hii hatufungamani na upande wowote. Uwe wa zamani au wa juzijuzi unakaribishwa. kadarkhani236 slim beauty paka chongo kiraka popote Man Eric...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
WanaJF. Huyu samaki anaitwaje? Wanapatikana wapi hapa tz? Tanzania is poverty because doesn't 've Tanzanian
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Asalaam aleikum wadau wa Jukwaa hili na Jamii Forums kwa ujumla... Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wa Rehma zake kwa kuniwezesha kuuona mwaka mwingine. Namshukuru Mzazi wangu...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…