Jamani waungwana!
Kwa wale mlioko Mwanza; kama ikiwezekana tufanye mpango tuonane viwanja vya Nyamhongoro ambako maonesho mbalimbali yanaendelea. Kwa jana nilienda na kujifunza mengi lakini kubwa...
Masai mmoja alikaa kivulini ghafla panya akaingia mdomoni hadi tumboni ikabidi masai apige simu kwa dokta wa kimasai maongezi yakawa hivi!
Masai"dokita wakati mekaa hapa panya kasama mdomoni hadi...
Kuna baadhi ya Wanawake wameSUGGEST Kwamba
kuna Wanaume wanahitaji kuvaa BADGE ya LENA
(Learners) kwenye Zipu kwa sababu Hawajui Mapenzi
na hawataki waambiwe hawajui wala hawako tayari
wafundishwe...
Jamani folks, mi uwa namkubali sana nyani ngabu kwa ngeli yake kwani huwa inanibidi nitafute dictionary. Hivi monkey ngabu unafanya kazi pale british embasy au mwalimu wa internatonal school au we...
Zuzu alioa mke mzuri sana mpaka watu wakawa wanateta namna Zuzu alivyompata mrembo huyo.
Mara baada ya miezi minne na nusu mke wa Zuzu akajifungua mtoto wa kiume. Zuzu akazusha kweli:
Mume...
Habari zenu jamani Jf,
Ni kama swali la kizushi ukilichukulia poapoa lakini lina maana kubwa sana.
Kuna ulazima gani unapoenda dukani kununua chupi unataka za rangi tofautitofati wakati muhusika...
Wakuu poleni na shamrashamra za kujiandaa kuhamia Dodoma kwa watakao bahatika.
Husika na tittle hapo juu naomba kujuzwa hii midadi hua ni nini maana na jiandaa kwenda kupiga xyray ya mbavu maana...
MKULIMA mmoja alikuwa anafuga kuku wa kienyeji.
Alikuwa na majike 25 jogoo mmoja. Baada ya kuona
jogoo amekuwa mzee akaamua kununua jogoo jipya.
Ile jogoo mpya kufika tu kukawa na mazungumzo
kati...
Kila mtu sasa hivi macho mbele, macho kodo
anatafuta'Somebody material'ajibanze ili apewe
nafasi ya kuwa aidha Raisi wa Familia(MME) au
ateuliwe kuwa Waziri Mkuu wa Familia(MKE)
Tumia Macho...
Six packs kujichosha tu vijana mmeskia? tafuteni Pesa kwanza! Tengeneza six packs kwa Afya yako na sio kuwavutia Warembo. Warembo wa skuizi Majipu wanapenda watu wazima wenyewe wanawaita SPONSOR...
Ombi langu kwenu.
Mnaonaje kama tukiamua kufahamiana kwa sura zetu?
Maana inawezekana tunaishi mtaa mmoja, tunasoma shule/chuo kimoja, tunapanda daladala moja, ni ndugu, ni marafiki na labda...
Tumetafakari sana,tumepekecha pekecha sana,tumebishana sana lakini hatimae familia yetu imeamua kufanya maamuzi magumu,tumeamua kuiunga mkono serikali yetu tukufu, tumeamua kuhamia Dodoma,wakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.