Masai kameza panya!

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,035
15,540
Masai mmoja alikaa kivulini ghafla panya akaingia mdomoni hadi tumboni ikabidi masai apige simu kwa dokta wa kimasai maongezi yakawa hivi!
Masai"dokita wakati mekaa hapa panya kasama mdomoni hadi kwa tumbo je nawesa kumesa ile ndawa ya kuua panya?!
Dokta"hapana utakufa bora umese paka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom