ibra87 R I P Joined Jul 22, 2015 Posts 5,614 Reaction score 5,379 Jul 31, 2016 #1 Usiache kuchagua kitakacho kupa maisha mazuri kwa maisha yako yote, kwa kukimbilia mazuri ya muda mfupi. Kuwa makini sana
Usiache kuchagua kitakacho kupa maisha mazuri kwa maisha yako yote, kwa kukimbilia mazuri ya muda mfupi. Kuwa makini sana
SniperBoi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2016 Posts 1,104 Reaction score 1,135 Jul 31, 2016 #2 Maisha hayako hivyo siku zote kupata usichotaka ni rahisi.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,087 Aug 1, 2016 #3 Mtafute sana Elimu wala usimuache aende zake