Swali langu lipo kwenye hizi chupi aka pichu

Mr mgeni

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
1,222
804
Habari zenu jamani Jf,
Ni kama swali la kizushi ukilichukulia poapoa lakini lina maana kubwa sana.
Kuna ulazima gani unapoenda dukani kununua chupi unataka za rangi tofautitofati wakati muhusika wa hizo chupi kuzivua ni mpenzi wako pekee?kwanini usinunue vyupi vya rangi moja pekee ambayo unaipenda.Nimekubali kuna usaliti mkubwa sana kwenye mapenzi na mimi ni miongoni mwa wasalitiwa.
Unakaribishwa kusema lolote.
 
Sio lazima ukinunua chupi akuvue mtu wako sometimes we mwenyewe ukijiangalia baada ya kuvaa leo rangi hii kesho ile unaskia raha Na wew unajitamani atiii
 
Habari zenu jamani Jf,
Ni kama swali la kizushi ukilichukulia poapoa lakini lina maana kubwa sana.
Kuna ulazima gani unapoenda dukani kununua chupi unataka za rangi tofautitofati wakati muhusika wa hizo chupi kuzivua ni mpenzi wako pekee?kwanini usinunue vyupi vya rangi moja pekee ambayo unaipenda.Nimekubali kuna usaliti mkubwa sana kwenye mapenzi na mimi ni miongoni mwa wasalitiwa.
Unakaribishwa kusema lolote.
We unazo za zangi moja?,au unayo moja tu?
 
Chupi ni urembo pia ni mvuto ukiondoa kazi yake ya awali. Chupi ina matumizi mengi yakheeee....ndio maana kuna design mbalimbali na rangi mbalimbali
 
Nyeupe namba moja zinanipa raha rohoni, mitindo tofautiiiii kibao.
 
Napenda sana kumnunulia mke wangu chupi. Najua rangi anayoipenda na muundo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom