JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi kwanini mwalimu nyerere hakufanya muungano wa tanzania na rwanda ili hawa mabinti wazuri wa kinyarwanda niwe nawapata kirahisiiiii Mie namlaumu sanaaaa huyu mzeee     
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama upo macho mida hii na wewe ni demu ni pm to chati
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Mwanaume...baby unanipenda? Mwanamke/Baby...tena sana swty wangu. Mwanaume...niweke basi kwenye profile picha yako ya watsaaps/Fb. Mwanamke...wala usihofu swty wangu sema na lingine...
0 Reactions
1 Replies
574 Views
Andika neno hili utaona kitu kitakacho tokea, kama muoga usiandike shauri yako haya anza kuandika neno.
0 Reactions
4 Replies
863 Views
1. Nywele kama za Sky Eclat 2. Kasura kazuri kama Heaven on Earth 3. Tabasamu kama la rubby 4. Lips kama za venossah 5. Kifua kama cha shunie 6. mahaba kama ya Kasinde 7. Nye.gee kama za...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Siku za wikiend nafurahi sana kwenda kuruka na maji ,maana ni hobbie yangu,napenda sana kuogolea, ila natembeleaga jagwani,mbalamwezi na coco mara chache sana. Juzi nikasikia wale vijana wa beach...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
DOGO: Eti mama malaika huwa wanapaa? MAMA: Ndio malaika wanapaa, kwanini unauliza? DOGO:Baba alimuita dada Malaika, dada atapaa? MAMA: Ndio atapaa leoleo kurudi kijijini kwao...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Devi kashtuka usingizini kauta gheto kwake wameingia wezi; DEVI: Mnatafuta nini? JAMBAZI: Tunatafuta pesa DEVI: Aise ngoja niamke niwasaidie tukipata tugawane ********************************
3 Reactions
3 Replies
1K Views
MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike? MUME: Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladala MKE: Na lipstiki kwenye shati? MUME: Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi nyie akina dada wa humu Jf mbona mna ubaguzi sana kuliko sisi wanaume?..Nasema hvyo kutokana na tabia yenu ya kujitenga nasi pindi tunapohitaji msaada kutoka kwenu..mfano hai ni katika...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
MJAMZITO alikwenda Hospital akakutana na Daktari aliyegoma. Mambo yakawa hivi: Mjamzito: Dokta Mtoto hachezi Tumboni tangu juzi nifanyeje? Daktari: Meza Kitenesi na Filimbi,ukiona bado hachezi...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
mwanaume kuishi bila mchepuko hiyo ni sawa na taifa kuliendesha taifa bila chama pinzani [emoji23]
0 Reactions
6 Replies
2K Views
*Unatumwa dukani ukanunue mafuta ya kupikia unapewa 1,000/= afu ww unaamua kupitia sehemu unanunua andazi la sh 100 ili ukanunue mafuta ya 900/=. Ukifika wanakouza mafuta unakuta wamefunga*. Hapo...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Nakumbuka mtihani wa la saba unaanzaga km masikhara hivi! 19+87= 219-45= 12x34= 59÷7= .... Afu huko mbele sasa kuanzia swali la sita saba hivi, utajutaa: Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
_*Pesa noma sana*_ Jamaa alikua anaoga bafuni na mke wake, Mara wakasikia sauti ya mtu ikibisha hodi,, mke akajifuta maji harakahara na kujifunga kanga kisha kwenda kuangalia ni nani anaebisha...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna Hali ya mkanganyiko wa kutotaka kufikiri vizuri au kuchambua!! TENA wakati mwingine ni kujitoa tu akili ilihali ukweli unajulikana na huu upo dunia kote!! Haya ni MAMBO YANAYODHIHIRISHA HILO...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Je waweza kutambua kazi/sifa za mtu humu Jamii forum kwa jinsi tuu anavyoandika /kuchangia mada mfano: Mwalimu,Nurse,dokta,mwanafunzi,mhandisi,mwanasheria,mrefu,,mkoa anaoishi...nk??? Basi leo...
0 Reactions
97 Replies
6K Views
Haya maisha haya kweli ni Ups and Down, siku za nyuma elfu kumi ilikuwa inakwisha haraka sana ndani ya muda mfupi, leo hii elfu kumi ni pesa moja tamu kweli...ukata sometimes inasaidia ati wakuu?
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Mwagona Mughonile Mwaghona Mapembero Mwakata Joree Yeroo subai Shimboni Mbukweni
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Back
Top Bottom