Yaliyonikuta baada ya kuoa mwanadada anaetumia ID ya housegirl humu JF!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,404
Thi is my confession!
 
Attachments

  • 1474112956659.jpg
    1474112956659.jpg
    56.6 KB · Views: 65
Mbona kawaida tuu haonekani kama anakuoazimisha ufanye hivyo coz nae yupo anafanya shughuli nyingine!

Hayo ndio mapenzi unataka kila kitu afanye mwanamke tuu!

Nao ni binaadamu wanachoka kama ww! Ukipata nafasi ya kumsaidia msaidie tuu wala sio dhambi
 
Tatizo akiamka asubuhi anapanga majukumu,yale majukumu mazito kama vile kuchota maji kisimani,kufua nepi za mtoto,kudeki ndani,kupika,kuosha vyombo ananipangia mimi!
 
Back
Top Bottom