JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kilichopo hapa ni kumuelezea mtu kutokana na avatar alionayo. sema avatar yake inaonesha ni mtu wa aina gani welcome mimi ndo ntakua wakwanza kuelezewa........your welcome
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Katika kipindi hiki cha ujio wa simu za kupangusa(Ina maana smart phones). Mitandao ya kijamii imeshika nafasi kubwa sana kusambaza habari. Sio kama zamani tulikuwa tunategemea redio,magazeti na...
3 Reactions
22 Replies
7K Views
Wakuu,kwema? huwa napenda sana nikiwa nasafiri kwenye bus,nikae siti moja na mdada afu huyo mdada akiwa anasinzia awe ananilalia.yan ntatataman safari isiishe.
2 Reactions
22 Replies
2K Views
nipo njian nakuja tanga wakaz wa tanga wapi kizuri siku hizi pa kutembea baada ya kumaliza kazi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana hivi huyu msichana rubii yupo wapi?? Maana yupo kimya sana isije ikawa yupo kaburini Nimezikumbuka sana post zake.
9 Reactions
95 Replies
7K Views
Miaka michache nyuma,Wanaume Tulikuwa Tunalalamika sana vibomu vya kuombwa vocha, Vocha ilikuwa gharama inayokera sana na kuboa maana kila siku iendayo kwa Mungu ni vocha.. Kumbe bora ingebakia...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Eti Ukimtongoza anakuambia naomba nikuone kwanza ndo nikupe jibu nimekubali au sijakubal hivi uoni kama unajiharibia mwenyewe ukimuona alafu wewe ukawa Kimeo unadhani atahitaji jibu tena? wewe...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
If yes just say hi ,tujuanee, mm npo sngda mjini karakana
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa walevi wenzangu wa kahawa...kwa kweli nateseka sana kisaikolojia bila sababu. 1.Hivi kwa nn vikombe vya kahawa vidogo namna hii 2.Na je kwa nn vikombe havina mikono 3.kwani muuza kahawa lazima...
1 Reactions
2 Replies
718 Views
Naomba tujadili hili wadau, napenda zaidi comment zitoke kwa wanawake. Limekuwepo suala la wanaume kutojiamini kwa kuwa na uume mdogo, je wanawake mnasemaje, mnapenda uume wa aina gani hasa, uume...
0 Reactions
9 Replies
14K Views
Mwalimu Mgeni alichora moyo ubaoni hata hivyo kwa kuwa alikuwa sio mchoraji sana mchoro ulionekana ovyo alipomaliza akaanza kuwauliza wanafunzi: MWALIMU, Nani anajua nimechora nn ubaoni...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
nimepanga kumkabidhi mke wangu nusu ya mshahara wangu kwa sababu najijua.
8 Reactions
176 Replies
29K Views
Wanaume wengine wabishi eti hakuna uchawi, hebu chukua karatasi jumlisha fedha zote ulizotumia kwa michepuko, halafu jumlisha hela ulizompelekea mama yako mzazi, linganisha, huoni kuwa ulilogwa wewe?
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Umelipia kodi ya nyumba 3,000,000 kwa M-pesa mara unapokea ujumbe mfupi unaokwambia Ahsante kwa kujiunga na unlimited bando umepokea dk 320000 sms 100000 na GB 25000 utazitumia mpaka 26/08/2017.
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwelevu na Mjinga walienda ktk usaili, walipofika kabla hawajaingia wakakubaliana aanze Mwerevu kisha akitoka ampe majibu Mjinga ili wote wapate kazi. Basi Mwelevu akaingia na maswali yakawa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi Wahaya (Bukoba) mmemkosea nini Mungu ati? 1978- UKIMWI ukaingia TZ kupitia kwenu umeua watu wa kutosha, 1978-vita na Uganda kwenu watu wakafa 1996- MV bukoba ikazama ikaua watu 508, 2016-...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Hamjambo wanandugu
0 Reactions
5 Replies
834 Views
KABLA YA NDOA.. mkipanga appointment anakuja amepigilia viwalo, amevaa kiputo, kimemtoa, ananukia, ametengeneza nywele afro kinky, ametinda nyusi vizuri aje kukuimpress, foundation make-up...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Wana Chit-chat mmemsoma Mange Leo ? Kwa kweli hali ya hewa imechafuka nashindwa kuweka screen shot hapa inakataa Kwa anayeweza hebu aiweke wasio na insta account. Mange huyu anaelekea pabaya
5 Reactions
351 Replies
48K Views
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station "naitwa Juma nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki7, ATM card na karatasi yenye PIN ya ATM card...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom