JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
jaribu leo kumpigia simu msichana mida ya mchana au jioni afu akwambie anapika ,ukimuuliza anapika nini atasema wali samaki ,sijui kwa nini wanapenda hilo jibu hata kama hapiki au anapika chakula...
6 Reactions
117 Replies
9K Views
Ukiona umeoa mke syo bikila ujue unafuga nyani siku akipata upenyo tuu anarudi poriniiiiii
4 Reactions
28 Replies
3K Views
NI siku special oct 1 kwa wanasiasaa wameeiita ----UKUTA DAY Kwa wanamazingira na wananchi tumeiita--SIKU YA KUPANDA MITI NCHI NZIMA Wana michezo waoo wanaiiita DERBY YA SIMBA VS YANGA Kwa wana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama JF tungekuwa na kanisa letu! na huyu ndio mchungaji wetu akimwombea muumini wake! Unadhan mahudhurio yatakuwaje? Kila muumini angeruhusiwa kusali hivi na yoyote ibadani!
1 Reactions
6 Replies
2K Views
What up JF-MMU world... So this is just for shout--outs. If you feel like shouting-out somebody for whatever reason, then this is the place. I'll lead the way by shouting-out all the cubicle...
1 Reactions
92 Replies
5K Views
Supu ya pweza imezidi kujiongezea wateja siku hadi siku, wauzaji wanaongezeka kila kukicha na wateja pia. Ukipipita mitaa mbali mbali mida ya jioni utaona kundi kubwa la watu ktk meza za pweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi JF chit-chat Bila shaka wote mko poa, nataka maoni yenu please Nilikaa nikajiuliza kaswali kamoja ivi nikatafakari nikakosa jibu la kuniridhisha nimeamua niwashirikishe ili tupate jibu...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
A man died... When he realized it, he saw God coming closer with a suitcase in his hand. Dialog between God and Dead Man: God: *Alright son, it’s time to go* Man: So soon? I had a lot of...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanamke akikuta pesa kwenye mifuko ya suruali yako anazitoa kimya kimya na wala hatakwambia kitu. Sasa akute umesahau kondomu kwenye mifuko ndio utajua kama umeoa kipaza sauti cha sokoni aua...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
A new element has been discovered and soon it will be added on the periodic table. For more information see the attachment.
0 Reactions
2 Replies
776 Views
1. Barabara mchana magari usiku huwa soko. 2. Stendi mchana usiku huwa hotel i 3. Mhindi wa kuchoma hutiwa limau na pilipili. 4. Aliyesitiri mwili kwa mavazi huitwa mshamba mwenye maungo nje...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Ukipewa nafasi ya kuchagua mmoja wa wanachama humu awe Rais wetu,utamchagua nani na kwanini???...kumbuka huu UZI ni ...interesting
3 Reactions
262 Replies
12K Views
Hivi mfano my computer iko compatible with window xp afu nikaipiga window 7 au 8 itakubali au????
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Yapo majina nilipoyaona nlicheka sana 1.Bajeti Ya kunguru 2.Mavipunda 3.Upepo wa Pesa 4.Kaboom 5.Nyani ngabu
1 Reactions
16 Replies
1K Views
*Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisiende mikono mitupu*... *Nikaamua kuvaa gloves*... *Sipendagi aibu ndogo ndogo ukweni*. [emoji57][emoji57][emoji57]
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi leo unapewa wasaha wa kuwa moderator utafanya nini? Utabadili jina jukwaa lipi? Utaongeza jukwaa lipi? Nani lazima achezee BAN za kufa mtu? Binafsi jukwaa la Siasa na Mapenzi na Urafiki...
3 Reactions
17 Replies
943 Views
daaaah kweli mungu yupo,jana nimekaa zangu sebleni nikasema ngoja niombe chezo kwa chepuko langu,tmechaaat,tumechaaaat we,he nakuja kushtuka kumbe msg nilikuwa namtumia wife bwana kwakuwa majina...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakati nafundishwa udereva.mwalimu wangu miongoni mwa vitu alivyonifundisha aliniambia dereva anatakiwa awe mvumilivu.kwa mfano umempakiza abiria lakini yule abiria ghafla anaanza kusema maneno...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
SWALI LA KUTISHA: *Ikiwa ela unayotoa kanisani au Msikitini ingetumika kujenga nyumba yako mbinguni, ingekuwa imefikia wapi hivi sasa? Nauliza tu, wengi tunaweza kuwa wakimbizi mbinguni*...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station "naitwa Juma nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki7, ATM card na karatasi yenye PIN ya ATM card...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom