JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hakika hakuna kitu kizuri cha kwanza kama mwanadamu ni muhimu [badala ya kula] kama kucheka, hakuna asiyependa kucheka,hebu tuambiane kitu cha aina yeyote ambacho ukikisikia always kinakufanya...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Huu ni mpambano wa kidiplomasia Kucheka inaruhusiwa, kutania shuruti uwe na qualifications. Kétiila mukúmbo na Tundu Lêsů ni mtu na mtani wake. Ni watani ndugu hawa. Hapo zamani za kale...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeona kwenye gazeti tangazo kutoka NIDA, linalotaka wageni wakaazi halali kwenda kusajiliwa. Sina uhakika sana na nia ya usajili huu, lakini kuna jambo moja lipo wazi. NIDA wanataka kukusanya...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
```Babe anatakiwa kuwa mshamba kidogo... Siyo unadate binti anajua mpaka Lukaku alifunga mabao mangapi msimu uliopita??... Demu unakaa naye anamjua Boro Yanki, Van Dame, Bill Branks...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Leo nilipokuwa naenda mjini nilikuwa kwenye toyo sasa kufika karibu na hapo kuna mawili pembeni kuna mdada alikuwa anapita mzuri wezere kila kitu mweupe kama nini gugu yaani kama msomali sasa wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aiseeee kwa hali hii jamani hii nchi ....sio kwa ugumu huu wa maisha......jamani hii ni simu ya mwalimu tena wa sayansi
4 Reactions
63 Replies
5K Views
Najiuliza sana kuhusu majina yenu memberz wa jf,yaani sijui yana asili ya wapi.Majina Ya ajabu ajabu ahahahahaha au mna kesi polisi mnaogopwa kukamatwa??
1 Reactions
67 Replies
5K Views
Ulishawai kuwa nyumbani na wazazi mnacheki movie, alafu ghalfa inakuja sex scene..watu wanashikana shikana wanapigana mabusu nk... Dingi anapagawa ili kuuwa noma anakuuliza Josee ushapiga pasi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
UKO SINGLE NA SIMU YAKO NOKIA YA TOCHI NA BADO UMEWEKA PASSWORD NA PIN CODE...UNAFICHA NINI?? GEMU LA NYOKA AU??[emoji23][emoji23] ACHA UJINGA
2 Reactions
1 Replies
1K Views
IMENIUMA SANA Jana jaman nilialikwa harusini mambo ya minuso na madikodiko, nimefika getini wahudumu wakanipokea na kunielekeza maandishi nikaona pameandikwa kulia ni ndugu wa maharusi...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Nawasalimu katika jina la Mungu baba
0 Reactions
1 Replies
798 Views
GULO: Bebi simu yako nzuri umepata wapi? DEVI: Nilishinda kwenye mashindano GULO: Mashindano ya nini Bebi? DEVI: Mashindano ya mbio, kati yangu, mwenye simu, polisi na wananchi wenye hasira kali.
6 Reactions
5 Replies
2K Views
Ilikuwa Jumamosi asubuhi, kazee kamjini kakaingia na bonge ya mdada kwenye yard ya magari mapya. KAZEE: Chagua gari unalotaka mpenzi....kabinti kakazunguka na kwa msaada wa mwenye wa mwenye yard...
18 Reactions
67 Replies
4K Views
SIKUBALI KUUMIA PEKE YANGU, BORA MBAVU ZITUUME Mnyakyusa mmoja aliwaalika watu katika mazishi ya mama yake. Baada ya kushusha jeneza wakatia ndani ya kaburi viazi, mchele na kuku kadhaa. Mhaya...
19 Reactions
94 Replies
10K Views
...
0 Reactions
0 Replies
499 Views
Leo bday yangu Queen B... Thanks be to Almighty Allah.
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Sipendi demu anayeomba pesa" kuna wakati huwa najiuliza..nimetongoza mwanamke au nimetongoza OMBA OMBA?
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ya leo kali mentali. Kusema ukweli jinsi ya kumuingia Mwanamke inahitaji kumsoma sana maana unaweza kumparamia akakuumbua. Na hakuna jambo baya mwanaume halipendi kama kukatataliwa! Kila mwanaume...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Pale unapoamka asubuh hujisikii kwenda kazin, unaamua kutuma Ujumbe kua unaumwa, mida ya SAA tano unampigia cm demu wako na anakuja geto, mnajifungia ndani kimyaaaa, Mara mlango unagongwa kwa...
2 Reactions
0 Replies
838 Views
Back
Top Bottom