JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Napenda kuwakumbush january n ngumu ila tujipe moyo..kingne nawatakia hongera kwakuuona mwaka .nawapnda mno
0 Reactions
14 Replies
1K Views
BONGO sometimes vitu bei poa sana....jana nimekatiza mitaa ya Karume nikakuta Shuka mpya shilingi 2,500, ..yaani bei ya soksi halafu jamaa anasema ni Pure Cotton kutoka Thailand....aisee kidogo...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Umoja Wa ma Boyfriend wasumbufu Tanzania(UBOTA)... Tunependa kuwatangazia wana chama wetu kua bado kauli mbiu yetu ni ile ile "ntakuoa mwakani" usijaribu wala kushawishika kuingia kwenye ndoa...
1 Reactions
2 Replies
667 Views
Kwa anaeuza Noah namba D bei kuanzia milioni 9 mpaka 12 au anaeuza BMW namba D toleo jipya kuanzia milioni 25 mpaka 35, na wauze tu mimi sina hata shilingi tunashindia maembe tu....ningekuwa nayo...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanamme mzuri anakuwa na sifa ipi ..
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Video Mpya ya Steve RnB Jambo Jambo imetoka na iko hewani. kilaDay - Steve RnB Jambo Jambo ​Ni kilasiku kilaDay
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Kuna mambo nimejifunza kwa watu, na mengine nimejifunza kupitia humuhumu JF, Dah, yaani wakuu nahisi kabisa naelekea kuwa mchawi, yaani........ Naomba wanielewe tu watakaonielewa inatosha ingawa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hivi ni mimi tu au naninyi wenzangu mmgundua.Mbona Januari ya mwaka huu ni ndefu kupitiliza. Nawasilisha
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Timu imara ya Tanzagiza inatuwakilisha Gabon bwana, KIKOSI CHETU HIKI HAPA; 1.Mh Kairuki, 2.Prof Ndalichako 3.Simbachawene 4.Jafo 5.Nchemba 6.Majaliwa 7. Nnauye 8.Makonda 9.MAGU 10.Mbarawa...
0 Reactions
6 Replies
998 Views
1 Reactions
1 Replies
1K Views
DUU HAYA NDIYO MAPENZI YA KIBONGO BWANA UTAIPENDA TU. Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;- MME: Natamani sana iwe hivyo. MKE: Vipi, wataka niondoke? MME: Hapana hata kidogo. MKE: unanipenda? MME...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kinavyojieleza hapo juu.kwa wale tunaoanzisha uzi au mjadala hapo kwenye majukwaa, lakini ni nani ukiona amechangia (commet)kwenye huo uzi angalau unafurahi..tuanze kuwataja Mimi wapo...
1 Reactions
248 Replies
14K Views
Kwa wenzetu US LADY: Wow beib it was so cool. BRITISH LADY: Thanks beib, it was so enjoyable. TANZANIAN LADY : Iko wapi chupi yangu? na ujue sina nauli na pia naskia njaa nipe chips.......
3 Reactions
21 Replies
11K Views
Nani kamzidi mwenziye??
2 Reactions
5 Replies
6K Views
Hello people Habari za humu poleni kwa mihangaiko ya hapa n pale. Am 22 boy university student Am interesting in charting both gender dini zote. Kabila zote nk kama ungependa tubadilishane mawazo...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Jamani naombeni mnisaidie katika hili nina asali sijatumia siku nyingi karibia mwaka sasa, je nikitumia haina madhara?
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Huu msemo wa tumia pesa upate pesa umepotea kabisa hapa mtaani kwetu, kwenu je ?.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…