Umoja wa ma boyfriend wasumbufu Tanzania

mfwimijr

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
203
152
Umoja Wa ma Boyfriend wasumbufu Tanzania(UBOTA)...
Tunependa kuwatangazia wana chama wetu kua bado kauli mbiu yetu ni ile ile "ntakuoa mwakani" usijaribu wala kushawishika kuingia kwenye ndoa maana walio ndani ya ndoa wanataka kutoka....
 
Back
Top Bottom