Kabla, Baada ya kuoa/kuolewa huwa hivi.


demigod

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Messages
5,121
Likes
9,896
Points
280
demigod

demigod

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2015
5,121 9,896 280
DUU HAYA NDIYO MAPENZI YA KIBONGO BWANA UTAIPENDA TU.
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;-

MME: Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MME: Hapana hata kidogo.
MKE: unanipenda?
MME: Ndo maanake.
MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu?
MME: Siwezi huo upuuzi.
MKE: Utanibusu milele?
MME: Kila mara.
MKE: Je, utanipiga?
MME: Aaaa haiwezi tokea.
MKE: Naweza kukuamini?
MME: Naam.
MKE: Jamani mpenz!!

Sasa ukitaka kujua baada ya ndoa mambo huwaje?. Anza kusoma sms hii kuanzia chini kwenda juu..
 
Mayala masuka

Mayala masuka

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Messages
317
Likes
587
Points
180
Mayala masuka

Mayala masuka

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2014
317 587 180
Yes i like it
 

Forum statistics

Threads 1,274,099
Members 490,586
Posts 30,501,008