Tanzania kumbe na sisi tupo kwenye michuano ya Africa Gabon 2017

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
593
Timu imara ya Tanzagiza inatuwakilisha Gabon bwana,

KIKOSI CHETU HIKI HAPA;
1.Mh Kairuki,
2.Prof Ndalichako
3.Simbachawene
4.Jafo
5.Nchemba
6.Majaliwa
7. Nnauye
8.Makonda
9.MAGU
10.Mbarawa
11.Maghembe

COACH: DR.TULIA.

SUB:
1.Ester Bulaya
2.Lijuakali
3.Lema
4.Mbowe
5.Lissu
6.Lowassa
7.Prof J
8.Zito kabwe

Namba gani imefiti na namba gani imepwaya? Je hichi kikosi kitatufikisha hata 1/4 finali kweli?

Namba gani inavuja na haifanyi majukumu yake uwanjani? Nani aingie kuziba pengo?
 
Ila namba 9 kikosi cha 1 ni hatari, inacheza uwanja wote mpaka nakudaka inadaka!
 
Back
Top Bottom