Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,249
Kwa anaeuza Noah namba D bei kuanzia milioni 9 mpaka 12 au anaeuza BMW namba D toleo jipya kuanzia milioni 25 mpaka 35, na wauze tu mimi sina hata shilingi tunashindia maembe tu....ningekuwa nayo ningenunua