Hiv asali huwa ina expire?

Chocalate67

New Member
Dec 13, 2016
3
2
Jamani naombeni mnisaidie katika hili nina asali sijatumia siku nyingi karibia mwaka sasa, je nikitumia haina madhara?
 
Kwa uelewa wangu. Kitu chochote chenye kuumbwa na kitu chenye uhai kina expiry date na kinaoza. Suala ni namna ya ku-set hiyo tarehe kulingana na uasilli wake.
 
Zile zinazochemshwa mara nyingi zinaharibika maana unaweza kuta wametia na maji kuongeza wingi ili kupata faida kwa muuzaji
 
Nonpartisan, hata chuma kina expire sembuse asali iliyotengenezwa kwa pollens, maji, nk. Labda nipe somo japo kwa ufupi.
 
Kwa uelewa wangu. Kitu chochote chenye kuumbwa na kitu chenye uhai kina expiry date na kinaoza. Suala ni namna ya ku-set hiyo tarehe kulingana na uasilli wake.
Asali ni miongoni mwa maajabubya Mungu,
Na upekee wake nikuwa haiharibiki
 
Best before: itakuwa bora kwa matumizi kabla ya hiyo tarehe tho ata tarehe ikipita unaweza tumia ingawa hautapata ule muonjo uliokusudiwa.
expiring date: haifai completely kwa matumizi baada ya hiyo tarehe.
Asali za kawaida za matumizi ya nyumbani ( si ya viwanda ) huwa zina best before as baada ya ya tarehe kupita kuna mabadiliko huwa yanatokea kwenye asali ikiwemo kutengeneza chenga chenga (crystalization), kupoteza ladha au hata kuganda itategemeana na utunzwaji wake..so utumiaji wake hautakuwa na madhara tho hautapata muonjo kusudiwa... Nafikiri tumelewana.
 
Japo baadhi mnasema haiexpire lakini niliwahi kununua asali ya nyuki wadogo chupa kadhaa.
Baadhi nilitumia nyingine nikaweka akiba kama dawa cha ajabu baada ya mwaka na kitu hivi ikabadilika ikawa nyeusi kama oil chafu.
Sasa hapo kuna usalama kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom