Nimekuwa namfatilia mrembo huyu kwa muda mrefu huwa ananikosha sana kwa komenti zake, ucheshi wake na hata masihara yake.
Mahondaw njoo hapa nikuhonge mgodi wangu wa hapa Kiwira ili nikuoe na...
Yaani ndio kama hivi, maana hata sielewielewi.
Saa mbili kamili usiku:
Bibi yenu: We mzee msosi tayari, nikutengenezee kachumbari?
Mimi: Tena weka pilipili ya kutosha mama, nina apetaiti ya watu...
Yes... It is my birthday...
Baada ya kukurukakara za maisha ya utoto na ujana...
Hatimaye leo imempendeza tena Mungu kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu...
Ahsante Mungu...
Habari za muda mrefu wana jukwaa Jana nilileta uzi wa jirani mlevi ambaye akilewa anatukana usiku, nashangaa leo nimerudi sisikii kelele zako, enewei tuachane na hayo. Siyo lengo la uzi.
Iko...
Aise! Wajuvi
Baada ya kukaa ndani sana nikasema ngoja ninyooshe miguu,Sasa nikakatiza maeneo fulani kuna chochoro ambayo pembeni kuna bweni la wasichana wa shule fulani, Nikiwa sijui hili wala...
1. Mke laZima Kulala ukutani
2. Kukojoa nyuma ya choo
3.ufagio unakaa nyuma ya mlango
4. Kila tajiri ni freemason au alitoka kafara
5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga
6 kuisha vyombo...
Hapa ninapokaa jirani mbaba akilewa kila siku usiku anatukana matusi tena kwa sauti hadi nakosa usingizi hadi anyamaze ndiyo napata usingizi.
Hii sasa tayari ni kero nahitaji kupumzika mapema...
Assalam alyeikum mabibi na mabwana..?
Bila kuwachosa njoga niwape kisa hichi kilichonikuta, waswahili wanasema ujana maji ya moto sasa mimi nilikutana na moto wenyewe!.
Ilikuwa ni usiku tulivu...
Watu wa kanda ya ziwa huwa nawakubali Sana jinsi wanavyo ongea. They are so funny.
Check video ya huyu popoma kutoka kanda ya ziwa inavyo trend.
Tunasubiri interview kama Abass Chionda.
Habari zenu wakuu poleni kwa majukumu
Kipindi nipo young ikifika mda mshaoga mnakalishwa chini TV inawashwa, CD inatupiwa ndani ya deck tena zile ZEC og, shwaah inaimeza.
Hamjakaa sawa haha...