Chochote chenye mwanzo huwa kina mwisho.
Na wewe kama ulizaliwa, hutofikisha miaka 100 ya kuishi hapa duniani.
Ni muhimu kufahamu ya kuwa, na wewe una mwisho wako.
Kwa upande wangu, baada ya...
Ni kweli hainihusu kabisa lakini lazima uambiwe ukweli bana.
Mwanaume unatakiwa uwe tofauti na jinsia ya kike bana.
Mods ni Vyema na haki sasa mkawaorodhesha watu wenye I'd zaidi ya moja maana...
Ngudu wa jamii habari zenu.
nimeanza ufugaji wa paka nilianza na paka majike manne na dume moja sasa hv nina paka takribani mia hamsini na natarajia ikifika mwezi wa sita nitaweza kufikisha paka...
Baada ya kujichangachanga kama laki 2 na nusu, nikapanga niende pangani tanga kumsaka mtaalamu (mganga wa kienyeji) kwaajili ya tiba ya maradhi yaliokuwa yakinisumbua pamoja na kuweka mambo yangu...
Tangu Jumamosi nilidhani wangelipwa, lakini hadi leo kimya. Isije kuwa wameshalipwa wakaamua kunyamaza.
Biashara imekuwa ngumu jamani—wadeni wangu, kama mmepokea malipo, tafadhali msinisahau.
Hello everyone 👋
Sorry for the late info…
But after deep thinking and unstoppable pressure from society — finally, my big day is here.
We’ve come a long way together in this forum, so I had to...
Kwema wakuu. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania.
Weka la bar, mtaa ilipo, wilaya na mkoa.
Naanza Mimi : ONE POINT ipo Chanika wilaya ya Ilala jijini Dar...
for educational purposes and enjoyment ... Heb tutiririke jumbe ambazo kwako wewe huwa ni za kifala as per your perceptions.
Tukiziona tujirekebishe ili tusionekane mazutwa kwa watu.
Mimi mtu...
Kuna mtu huko inbox ameniita wa kienyeji, nimemuuliza inamanisha nini amekataa kuniambia.
Naomba mniambie hili jina linamaanisha nini? au ni tusi?
Nimejaribu kusearch humu JF nakutana na nyuzi...
Mfano umetuma kimakosa shilingi 500,000 kwenye akaunti isiyo sahihi, ukampigia simu uliyemtumia Ili akurejeshee mpokeaji simu akasema atakata 100,000 na akurudishie 400,000
Kwa huzuni kubwa...
Nimekutana na hili swali sehemu "Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?"
Mimi nimejibu "Watu wanajua nina hela kumbe kapuku tu ninayejua kujitunza na kuwa na muonekano wa...
Picha hii ilipigwa mwaka 1959 na rubani wa helikopta kutoka Ubelgiji, Kanali Remy Van Lierde, wakati akiwa doria juu ya eneo la Congo. Nyoka aliyemuona alikuwa na urefu wa takriban futi 50 (sawa...