JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mtaani Watoto wakiwa wanashindana kwenye michezo, mmoja akisema "Mi Magufuli" mwingine anasema "Mimi Tundu Lissu"...Aliyesema Magufuli, anasema basi mi sichezi...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
karibuni nafanya huduma ya kufua nguo kwa kutumia mashine na kupasi. Bei zangu ni nafuu kuanzia 1500, napatikana mabibo makuburi, ubungo Dar es salaam , maeneo yote ya Dar nafata nguo na...
1 Reactions
3 Replies
827 Views
hivi yule muhenga aliyesema "hata vikombe kabatini hugongana" alifikilia nini mpaka akasema hivyo??? nimeweka glass mbili kabatini mpaka leo bado vipo pale pale havijahama wala kugusana, sasa huyu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
kaa tayari, kaa kwa tahadhari! attention jitu baya limevamia ndani ya nyumba oi anaejua mda aniambie saangapi hapo nataka nisonge ugali Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mmmmh Eti wanawake wa mjini mapenzi yakizidi Hata ukivaa KONDOM utasikia bby umependeza
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama haujawahi kuitwa boss Usikate tamaa, Hapa utaitwa boss aya coment hapa Boss wangu.
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.
24 Reactions
37 Replies
3K Views
Huyu jamaa nakumbuka alikuwa mkereketwa sana wa lebel ya domo ya wcb_wasafi but navoona kinachoendelea kwenye mitandao inaonesha kuna mtafaruku mkubwa sana kati yao. Mara nyingi huwa naona...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Naomben majibu jaman Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
42 Replies
9K Views
Leo nimemsikia jamaa kachapia mpaka nikahisi akiendelea hv anaweza akawa bubu.. jamaa kaniuliza hv "Eti kati ya mbuzi na mkubwa nani nguruwe?"..wakuu embu naombeni nanyie mtoe michapio ambayo...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Ni ushauri tu. Jumapili njema wakuu.
1 Reactions
25 Replies
2K Views
WAZO LA LEO Baada ya kulala peke yangu kwa mda mrefu hatimaye jana nimelala na njaa![emoji15][emoji15][emoji102] 2 Timotheo:4.2 lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa...
1 Reactions
1 Replies
937 Views
Wandugu habarini jamani, Kiukweli nikiona comment au uzi wowote kutoka kwa huyu mdada anaejiita Sky Eclat huwa najisikia raha sana moyoni. Yaani najishangaa nampenda tu binti bila kumuona na...
1 Reactions
66 Replies
5K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
60 Replies
9K Views
Jamani kwa wale wakazi wa Mbeya hebu naomba tujuzane ni wapi wanauza ile haramu yenye pua ndefu? Nimeikumbuka sana halafu sijui nitaipata wapi, hebu wenyeji naombeni msaada wa haraka. Wasalaaam.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Waungwana huku kumedoda... Nipo club hapa DJ anahujumu disko, anapiga nyimbo ambazo 'hazibambi'. Muda wote ananikodolea macho mie nipo kwenye dancing floor...huyu demu ninaecheza nae inasemekana...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Hooooddi JF! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
20 Replies
2K Views
IMETOKEA HIVI" wewe umehukumiwa kifungo cha maisha: mkeo amebaki uraiani, umetumikia miaka 2 katika kifungo ulichohukumiwa, juhudi zote za kutoka zimeshindikana na umeshakata tamaa, mara mkeo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
*Mlevi kapelekwa mahakamani Hakimu akamwambia wewe sasa hii mara ya pili unakuja hapa* *Mlevi*: _mbona we kila siku upo hapa na hakuna alokwambia kitu_...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom