Topics gani zilikutoa jasho, kipindi unasoma shule?

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
3,437
7,947
Maisha Yana story ndefu,

Nilipenda kusoma science, sema nilikutana na matopic magumu sikuchelewa kukimbia.

Kwanza namlaumu huyo aliyetunga topic ya maths ya LOGARITHMS 😅 Aisee hili jiwe me teacher akifundisha natoka kapa.

Sijui kutumia four figure me kusoma sijui ndo manamba naona sielewi chochote.

Physics kulikuwepo hiyo topic inaitwa electronics, basi hili jiwe lilikuwa limepinda yani huko mwisho sijui utumie four figure nikaona huu utumbafu wa Nini.

Nikajiunga Moja Kwa Moja Masomo ya arts nikasoma HGL pale semirini safi kabisa.

Tupe story ya topic ngumu kwako
 
Zote za masomo saba ya Arts.Nilipata four ya 34 ,2004.Nikamdanganya bimdashi matokeo hayajatoka.Kwa nini asiende shule.Kufika akaulizwa mama unajua kusoma? Akajibu ndio.Akapewa mkeka ulikuwa hivi;
Civics=D
Kiswahili=F
Engl=F
Bios=F
Math=F
Geo=F
History=F
 
Kilimo cha Buni - Brazil
Geography darasa la 5 hiyo. Hiyo topic ilikua ngumu kinoma. Secondary hakuna topics ngumu kama za primary, hizo physics chemistry maths hamna kitu, nyepesi sana

Fikiria mtoto upo darasa la nne unafundishwa aina za makabichi ngoma na moyo, hiyo ilikua sayansi kilimo darasa la 4
Hapo bado sayansi kimu.
 
National income ,, asee nilikuja kuielewa first year wakati wa sup,,,

kuna pimbi mmoja alikuwa anaitwa doctar jo ,,, yule jamaa kwenye EC 117 wakati anafundisha anafundisha simple kweli kweli ,,, ngoma U.E ,, aisee mbaka nikajiuliza kweli hivi vitu tulisoma darasani kweli ??,,,

Paper ni ya masaa 3 lakini mbaka wanasema tumebakiwa na nusu saa paper iishe ,,, kidume ukiacha maswali ya kuchagua na machache niliyojikanyaga kanyaga ,, mengine yote kama calculation na explanations hakuna nilichojibu,,,, japo kulikuwa na Ac venue tuliofanyia ,,, kidume nikaona jasho zinanitoka,, moyo nikajisema nimekwisha,,

Uzuri wakati wa sup ,,, nusu ya darasa tulirudi kupiga paper tena ,,, hapo nikajiona kumbe mimi siyo kilaza sanaa
 
Nimecheka sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom